Jamani nimetapeliwa

Aksante
 
Sasa unalipiaje kodi kitu ambacho hauna documents zake plus haujakiona?!

Pili, unaanzaje kujiaminisha kuwa unaongea na watu sahihi na hata hukuwahi kuwaona....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Swala lolote linalohusisha mteremko lina harufu kubwa ya utapeli “ hii ndio kanuni kubwa ya utapeli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hongera Mkuu kwa kutoa angalizo kwa wengine yasiwakute..., na hao wanaotoa kebehi watafanya wengine wakiibiwa waone aibu au kuongopa kutoa taarifa kwa wengine thus kuwapa uwezo hao matapeli kuendeleza unyangau wao...
 
Hongera Mkuu kwa kutoa angalizo kwa wengine yasiwakute..., na hao wanaotoa kebehi watafanya wengine wakiibiwa waone aibu au kuongopa kutoa taarifa kwa wengine thus kuwapa uwezo hao matapeli kuendeleza unyangau wao...
Nashukuru kwa kutoa ushauri mzuri,,,,, na ndiyo maana nimekuwa mkweli kuongea hilo ili wengine wasiingie majaribuni kama yaliyonisibu
 
Msaidie mapema kabla hajatapeliwa, mwambie indirect hata kwa kupiga nae story kuhusu utapeli wa aina hii. Utakua umetenda jambo jema
Hapana
siwezi ku intervene maana yeye ameamua kuni sideline
 
Washauri ninao ila tekonologia waliyoitoa ilikuwa ya hali ya juu
Hapo hakuna cha teknolojia ya hali ya juu wala nini. Ni tamaa tu ya kumiliki kiwanda kwa ubia na mzungu. Ila pole.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…