sio shemale mkuuBecareful with shemales in JF
FAIL FAIL FAIL ..mtongoze PAWnimependezwa sana na jinsi aminata anavyojibu post za watu mbalimbali humu kiasi kwamba huwa nikiona post mpya tu namtafuta nione amejibu vipi. Yani kwa ufupi nimekufa nimeoza ingawa maana nisipokuta majibu yake huwa siendelei kusoma reply za wengine. Mnisaidie mie mwanaume nifanyeje ukizingatia Aminata simjui? Asije akawa ni mwanaume anatumia jina la kike yakawa tena mambo ya ku-kameroni!!!
nafurai mnoooo kusikia ivo sasa nisikize kwa makini munooonimependezwa sana na jinsi aminata anavyojibu post za watu mbalimbali humu kiasi kwamba huwa nikiona post mpya tu namtafuta nione amejibu vipi. Yani kwa ufupi nimekufa nimeoza ingawa maana nisipokuta majibu yake huwa siendelei kusoma reply za wengine. Mnisaidie mie mwanaume nifanyeje ukizingatia Aminata simjui? Asije akawa ni mwanaume anatumia jina la kike yakawa tena mambo ya ku-kameroni!!!
asante sana mana ningemjibu mm cjui ningempatia jibu gani........who knowz)))))sio shemale mkuu
labda yy atawezahahaha... ST ivuga si alinyoosha mikono juu aminata masharti yake yalikuwa mazito
kumtumia mtu ujumbe wa siriKupm ndiyo nini jamani?
mm sio tapeli we black woman mm ni white woman naona chacha timeelewanakuwa mwangalifu kesho usije na kilio umetapeliwa
hawezi kunitumia nauli bali ataniomba mm ndio nimtumie yyJana kuna mwenzio kaanzisha thread hapa kawasiliana na mtu anajua ni dada kumbe ni dume...take care kuna wengine wana behave viceversa....utaishia kuombwa umtumie nauli aje huko mliko muonane ndio utagundua ulikua unapenda dume jenzio.......
mbona ivo jamani loh!Kweli asijesema hukumwambia, mie shahidi. Aende akapitie uzi wa 'kwanini tu'
Masahihisho kidogo siku hizi hatuna vitabu tuna E - cards......nafurai mnoooo kusikia ivo sasa nisikize kwa makini munooo
kitabu cha bank nipatie mm ..........cko na shida ya magar,nyumba,mashamba na chochote i mean rasilimali zako
account tatu dollar,euro,na pound ctaki shillings
ni hayo tu basi
hope ww hutashindwa