Ni wiki sasa inaisha nikiwa kwenye dimbwi la majonzi baada ya niliyempenda kunitelekeza. Hii ni baad ya kuachana takribani mwezi mmoja sasa kutokana na mahangaiko ya maisha.
Mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini baada ya wiki 2 tu kupita mawasiliano yakaanza kupungua na wiki iliyofuata ndio mawasiliano hakuna kabsa.
Nikimpigia simu either asipokee au anakata, sms ndio usiseme, haijibiwi. Nifanyeje?