Ni wiki sasa inaisha nikiwa kwenye dimbwi la majonzi baada ya niliyempenda kunitelekeza.hii ni baad ya kuachana takriban mwezi mmoaja kutokana na mahangaiko ya maisha.mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini baada ya wiki 2 tu kupita mawasiliano yakaanza kupungua na wiki iliyofuata ndi mawsiliano hakuna kabsa.nikimpigia cmu either asipokee au anakata,sms ndio usiseme haijibiwi.nifanyeje?