Jamani nimekimbiwa mwenzenu!

Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
211
25
Ni wiki sasa inaisha nikiwa kwenye dimbwi la majonzi baada ya niliyempenda kunitelekeza. Hii ni baad ya kuachana takribani mwezi mmoja sasa kutokana na mahangaiko ya maisha.

Mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini baada ya wiki 2 tu kupita mawasiliano yakaanza kupungua na wiki iliyofuata ndio mawasiliano hakuna kabsa.

Nikimpigia simu either asipokee au anakata, sms ndio usiseme, haijibiwi. Nifanyeje?
 
Kisa cha kukimbiwa ni nini
Umemfanyaje
Au umeishiwa au amempata wa zaidi yako
 
baba huna chako hapo tena!! kaza makalio tafuta mwingine ......
 
Ni wiki sasa inaisha nikiwa kwenye dimbwi la majonzi baada ya niliyempenda kunitelekeza.hii ni baad ya kuachana takriban mwezi mmoaja kutokana na mahangaiko ya maisha.mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini baada ya wiki 2 tu kupita mawasiliano yakaanza kupungua na wiki iliyofuata ndi mawsiliano hakuna kabsa.nikimpigia cmu either asipokee au anakata,sms ndio usiseme haijibiwi.nifanyeje?

ukipiga tigo aipatikani inakujibuje??jibu umelipata
 
Hizo ni moja ya experiences humfanya mtu awe stronger.... Pole saana... Hapa time ndo dawa...
 
Maisha yana mambo mengi sana.
Unaweza achana na mtu anakwambia usiku mwema na kesho
bahati mbaya sio kawaida kuwasiliana mara kwa mara
unakuja ambiwa hayupo tena duniani.

Namaanisha,kukaa kwake kimya haimaanishi kakuacha.
Yawezekana katika kutafuta maisha yupo vibaya kifedha.
Yawezekana ni mgonjwa na amelazwa.
Yawezekana,yawezekana,.....mengine hayasemeki ila kuna sababu nyingi sana.

Usiwe mvivu kutafuta kujua hali ya mwenzako,na usiwe mwepesi kulalamika.
Yes,inauma kuwapo ukimya kati yenu lakini do something.

Naamini ana marafiki na unawafahamu,ongea nao.
kama ni mzima kabisa na hana tatizo usilazimishe kuongea naye
na usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya.

Sometimes unahitaji distance na ukimya ili ummiss mtu ndipo utajua kama unampenda
au la.
Labda ulimboa sana,na labda yeye sio mtu wa kusahau maudhi haraka na imebidi
a-act kukuchunia kwa mda.

Give it time,na muombee huko aliko.
You never know,labda ukimya wake ni kwa best interest yako.
 
Ni wiki sasa inaisha nikiwa kwenye dimbwi la majonzi baada ya niliyempenda kunitelekeza.hii ni baad ya kuachana takriban mwezi mmoaja kutokana na mahangaiko ya maisha.mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini baada ya wiki 2 tu kupita mawasiliano yakaanza kupungua na wiki iliyofuata ndi mawsiliano hakuna kabsa.nikimpigia cmu either asipokee au anakata,sms ndio usiseme haijibiwi.nifanyeje?
<br />
<br />
Kunywa SUMU.
 
hilo la wiki mbili then kimya kiasi hicho, ni wazi hapo huna chako pengine ilikuwa ni suala la muda tu akutose. Na sasa muda umepatikana hivyo jipange upya. Lakini inawezekana pia kuwa kuna jambo limemtokea sousianze kuwaza vibaya juu yake kuhusu uhusiano wenu. Tafuta ukweli then uchukue hatua.
 
Ni wiki sasa inaisha nikiwa kwenye dimbwi la majonzi baada ya niliyempenda kunitelekeza.hii ni baad ya kuachana takriban mwezi mmoaja kutokana na mahangaiko ya maisha mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini baada ya wiki 2 tu kupita mawasiliano yakaanza kupungua na wiki iliyofuata ndi mawsiliano hakuna kabsa.nikimpigia cmu either asipokee au anakata, sms ndio usiseme haijibiwi nifanyeje?
Achana nae endelea kutafuta hela huyo ni kipereto
 
Back
Top Bottom