Jamani, nimeibiwa au sijui hesabu?

Jamani, nimeibiwa au sijui hesabu?

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,701
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji sh. 3,000.


Nikamlipa baba sh. 1,000 na mama sh. 1,000 na mimi nikabakiza sh. 1,000 ili ninunue vocha.
​

Kwa hiyo baba ananidai sh. 49,000 na mama 49,000 jumla sh. 98,000. Nikijumlisha na 1,000 niliyobakiza jumla inakuwa sh. 99,000. Sh. 1,000 imekwenda wapi??
​

 
Jisachi sachi uenda umedondosha chini

au Nahisi ulivurugwa wewe
 
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji sh. 3,000.


Nikamlipa baba sh. 1,000 na mama sh. 1,000 na mimi nikabakiza sh. 1,000 ili ninunue vocha.
​

Kwa hiyo baba ananidai sh. 49,000 na mama 49,000 jumla sh. 98,000. Nikijumlisha na 1,000 niliyobakiza jumla inakuwa sh. 99,000. Sh. 1,000 imekwenda wapi??
​


Chora jedwali,upande m1 mapato,mwngine matumizi,
huwezi kujumlisha mapato,matumiz na madeni.
Hujaibiwa Nyetk
 
Last edited by a moderator:
santee.Pole sana umeshaibiwa mjini hapa. Mambo ya chuma ulete hayo.Nalog off
 
Hilo ni shati la Tanzanite na vifungo vya green tomaren!
Shemeji nawe siku hizi hutembei sana madukani , utavijuaje!

Mwambie huyo. Si bure, inaelekea anatoka Bangayega au Mwankoko. Anashangaa shati la sh. 97,000 tu atakapoona saa ya milioni 50 atachekea wapi?

cc Mentor
 
Last edited by a moderator:
Swali la kitoto kama hilo hauwezi kutuuliza sisi magwiji wa Hesabu...
 
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji sh. 3,000.


Nikamlipa baba sh. 1,000 na mama sh. 1,000 na mimi nikabakiza sh. 1,000 ili ninunue vocha.
​

Kwa hiyo baba ananidai sh. 49,000 na mama 49,000 jumla sh. 98,000. Nikijumlisha na 1,000 niliyobakiza jumla inakuwa sh. 99,000. Sh. 1,000 imekwenda wapi??
​


hili swali mkuu ungelipeleka jukwaa la elimu,hapa unaumbua watu tu!
 
Kama ulinunua Mlimani City, inawezekana hiyo 1000 ulitumia kwa nauli ya kwenda na kurudi yaani 800, na 200 iliyobaki ukanunulia Dawasco pale Ubungo au Mwenge. Kumbuka vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom