Jamani, nimeibiwa au sijui hesabu?

Jamani, nimeibiwa au sijui hesabu?

Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji sh. 3,000.

Nikamlipa baba sh. 1,000 na mama sh. 1,000 na mimi nikabakiza sh. 1,000 ili ninunue vocha.

Kwa hiyo baba ananidai sh. 49,000 na mama 49,000 jumla sh. 98,000. Nikijumlisha na 1,000 niliyobakiza jumla inakuwa sh. 99,000. Sh. 1,000 imekwenda wapi??
​

Duh! Samahani, nilisahau kamusi yangu ... No, I mean kalukuleta yangu. Nitarudi.
 
Weka picha tulione, hizo hesabu za watoto nani anazitaka?
 
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji sh. 3,000.

Nikamlipa baba sh. 1,000 na mama sh. 1,000 na mimi nikabakiza sh. 1,000 ili ninunue vocha.
​

Kwa hiyo baba ananidai sh. 49,000 na mama 49,000 jumla sh. 98,000. Nikijumlisha na 1,000 niliyobakiza jumla inakuwa sh. 99,000. Sh. 1,000 imekwenda wapi??
​

Hilo shati lina chupi?
 
is about income and expenditure. Usipende kukopa bila ya kuwa na Malengo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom