Jamani nimefiwa

Jamani nimefiwa

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,189
Reaction score
3,548
Juzi nimepatw na msiba wa binti wa kaka yangu huku Tegeta Mivumoni, chuo cha Wakorea karibuni.
 
poleni wafiwa na roho ya marehemu ilazwe mahali pema peponi. mia
 
pole sana mwanafamilia mwenzetu wa Jf, Mungu akupe nguvu na ujasiri ktk kupindi hichi kigumu cha kuondokewa na mpendwa wetu!
 
REQUIEM: Pumziko la Milele umpe ee Bwana, Na mwanga wa Milele umwangazie, apumzike kwa amani...
 
Pole sana mkuu mungu akutie nguvu wakati huu mgumu wa majonzi
ungeweka na con mwenye kanafasi hata apite
 
pole sana mkuu..japo hujasema kilichopelekea kifo chake.
 
Back
Top Bottom