Jamani nimefiwa

Jamani nimefiwa

pole sana, npo arusha my regards and condolence kwenu nyote, Mungu awatie nguvu.
 
pole sana kwa kufiwa... M'mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu..
 
Fikisha salaam zetu za pole kwa kaka yako , ndugu na jamaa wote

Apumzike kwa amani
 
Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwa Yeye tutarejea. Kuwa na subira.
 
Pole sana kwa msiba. Mungu awape amani ya mioyo kwa kuondokewa na mpendwa wenu
 
mizambwa na Bujibuji!!samahani hizo like zenu kwenye hii taarifa ya msiba zina maana gani!!??
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana mdau.
Mungu awafariji ktk kpindi chote cha msiba, na marehemu apumzike kwa amani.
 
tunamwomba Mungu akuongezee ujasili ,na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu sisi tulimpenda akini Mungu alimpenda sana.
 
polen sana,kiongozi.Ni mapenzi ya Mungu.Ailaze Roho ya mareh.mahali pema peponi.Polen sana
 
Asanteni muda huu niko kanisa la Wasabato Mivumoni tunjiandaa kwa ibada, karibuni kwa mliokaribu na maeneo haya.Asanteni.
 
Pole sana mkuu, Mungu alitoa Mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 
Back
Top Bottom