Jamani nimefiwa

Jamani nimefiwa

pole sana kwa msiba mkuu
may his/her soul R.I.P
MUNGU alitoa na sasa ametwaa jina lake LIHIMIDIWE...AMEEN
 
Juzi nimepatw na msiba wa binti wa kaka yangu huku Tegeta Mivumoni, chuo cha Wakorea karibuni.

Pole sana kwa msiba.

Ni mapenzi ya Mungu, hatuna budi kumshukuru kwa yote.

Bwana alitoa na BWana ametwaa. Jina la Bwana Lihimidiwe...... AMEN



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Pole sana Mkuu, Mungu akutieni nguvu katika kipindi hiki kigumu. R.I.P marehemu!
 
Pole sana inua mkono juu umkabidhi mungu ndiye mpangaji wa kila jambo!
 
Nawashukuru sana kwa kunitia moyo. Maziko kesho Jumapili. Karibuni sana.
 
Pole mkubwa, kazi ya Mola haina makosa...Mivumoni! dah
 
Back
Top Bottom