Jamani nifanye vipi nisimchukie?

Jamani nifanye vipi nisimchukie?

Umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa na wanawake wa3 na wakamuacha wote kwa mkupuo, sijui walifahamiana!! Jamaa na umalaya wake wote lakini ilimuuma.
Mzembe sana... kila mwanamke uliye naye lazima awe na Plan B yake. kwahiyo walivyoondoka hao watatu angeipandisha cheo michepuko yake, maisha yangeendelea kama kawaida... Then anatafuta Plan C incase na hii Plan B italeta ukenge...
 
Kuna mdau hapo kasema "Time is the best healer"

sijui maana yake ni nini, ila ninahisi huenda ndio neno linalo kufaa zaid kwasasa, utanisaidia kufafanua
hahahaaaaa da...
We umehisi tu ila huna hakika kama ndo suluhu nzuri...
 
Haya matatizo bwana ni rahisi mtu kukwambia piga chini lakini ni wewe na moyo wako ndiyo unajua unaumia vipi. Time is the best healer.
Mpendwa...kuna watu sio rahisi sana uwasahau maishani, well siwez jua mtoa mada na huyo X square, wamepitia mangap lakin
am saying there are some memories and people in ur life cant be forgoten easily, its like they have put a signature or a seal in your life though u might be already moving on with ur life..
others have been cursed, others havent been forgiven, others have been forgiven and probaly become good friends,
its not easy for him ane it needs the unlimited Grace of God...Ni neema ya Mungu ndio.itamtoa.hapo.
 
Kuna mama mmoja aliwahi kuniambia, fanya makosa yote kwa mume/mchumba au mpenzi unaweza kupata msamaha lakini kukukuta na mwanaume mwingine, hilo sahau msamaha wake na ukimlazimisha msamaha basi maisha yote hamtakuwa na maelewano.
 
Njia mojawapo ya kumsahau ni kupunguza mazoea ya kufanya vitu mlivyokuwa mnafanya pamoja,futa picha zake,mblock fb na mitandao mingine baada ya muda kupita utamsahau tu
 
Nashukuru sana kwa ushauri kwa kweli kuna watu ni ngumu sana kuwasahau na wanaumiza sana moyo..
 
Njia mojawapo ya kumsahau ni kupunguza mazoea ya kufanya vitu mlivyokuwa mnafanya pamoja,futa picha zake,mblock fb na mitandao mingine baada ya muda kupita utamsahau tu
Nashkuru sana mkuu ngoja nizidi kupambana naamini ntapona tu
 
Kuna mama mmoja aliwahi kuniambia, fanya makosa yote kwa mume/mchumba au mpenzi unaweza kupata msamaha lakini kukukuta na mwanaume mwingine, hilo sahau msamaha wake na ukimlazimisha msamaha basi maisha yote hamtakuwa na maelewano.
Inauma sana jamani.. Sasa hizo wiki mbili sijui jamaa lili mfanya nini.. Daaah mpaka akapata mimba.. sometimes nikifikiria hadi tumbo lina uma
 
Nashukuru sana kwa ushauri kwa kweli kuna watu ni ngumu sana kuwasahau na wanaumiza sana moyo..
Asante kushukuru mkuu. I know how you feel because i was a victim too..
the hatred and anger was unmeasurable, but Grace of God help me get through it.
 
Pole sana najua jinsi gani unaumia na uko katika wakati mgumu ila siku moja utakuwa sawa
Nina maumivu makali sana hasa nikikumbuka tulivokuwa tunaishi alaf leo hii anaenda getoni kwa mshikaji anakaa wiki mbili mpaka anapata mimba....
 
Asante kushukuru mkuu. I know how you feel because i was a victim too..
the hatred and anger was unmeasurable, but Grace of God help me get through it.
Nifanye nini na mimi niwe huru sina raha kabisa.. Naona kama bora nisioe tu maana sijui hata huyo mwingine atakuja kwa style gani??
 
Pole, jifunze kumwacha aende
Na jifunza mkuu lakini inaumiza sana mtu unaempenda kufanya vitendo vile jamani.. Siku za mwanzo nilishindwa kula na usingizi ulipitea nilikuwa nakesha
 
Na jifunza mkuu lakini inaumiza sana mtu unaempenda kufanya vitendo vile jamani.. Siku za mwanzo nilishindwa kula na usingizi ulipitea nilikuwa nakesha
Inaumiza ndio, ila ishakuwa hivyo tena. Huna sababu ya kujiumiza kwa sababu ya mtu asiye tambua umuhimu wako. Tunawapoteza wapendwa wetu na maumivu hupotea sembuse huyo ulomkuta na meno yote na nywele kila kona??

Kumsahau ni hiari yako, jipange fanya maamuzi sahihi
 
Ahsante sana mkuu kila kitu kinawezekana ni maamuzi tu.. Ngoja nipambane katika wakati huu mgumu
 
Kwa mtu mwenye akili timamu, kwa hili ni rahisi kuachana nae ila kwasababu huna akili ndio maana unapata shida na unashindwa kumsamehe. Maandiko yanasema "azinie na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomuangamiza. " huko ndiko unakoelekea. Iko hv. Nafsi yako ndiyo iliyojeruhika na imesbabisha maumivu ndani yake. Na nafsi iliyoumizwa inataka kulipa kisasi. Hivyo kabla haujafika hapo tumia hatua ya imani. Isemeshe nfsi yako kwa kuiyenganisha na nafsi ya huyo binti kwakutamka majina yenu. Km ni mkristo tumia damu y Yesu. Ila km sio tumia njia unayoona inafaa kwa mujibu wa imani yako, pia itangaziae uponyaji itapona na utamuona wa kawaida. Hakuna haja yakuwachukia wanawake ni moja kt ya watu wazuri sana, kwa baadhi yako. Usije ukakata tamaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom