Jamani nifanye vipi nisimchukie?

Jamani nifanye vipi nisimchukie?

Jaribio la pili unatakiwa umpende then siku mzinguane mkiwa kwenye nyumba ya kupanga anaamua kuchukua next room to you then live unamwona anaingiza mabwana wengine kazi yako ni kufanya headcount. Uki win hilo utaoa bikra never seen, the perfect one, utadhani ulimuumba na hata akikuacha hutoumia tena wala kuwa na hasira
 
6c929780617e7ff20f046ca192567ac4.jpg
 
Pole unapaswa kutendwa kama mara tatu then utakuwa perfect, chukulia hio kuwa ni test number 1, subir test nyingine 2. Then oa utakuwa vizuri tu.
Duuh unaniogopesha mkuu! mimi nilishapiga test no.1 najiona nipo fit kumbe bado tu sijaiva! aisee
 
Mapenzi yana mwisho....kama mtu anakufanyia mambo haya unaendelea vp kumpenda?

Moyo wangu hauna nafasi nyingine pale unapoumizwa basi yanaisha hapohapo
Kua uyaone, mana hata nikielezea sijui kama utaelewa,vitu vingine mtu unaelewa ukishavipitia
 
Yaan jamn wengine tunavyoomba tupate wenza waelewa na wenye mapenzi..wengne wanapata bahati wanazichezea..aisee,,me nkiskia mkaka analalamika vtu kama hvi roho yangu inaumia jamn.!! Hvii wapo wa aina hiii?! ..najuaga wanaume wana ki-idea kwamba wanawake wamejaa watapata wanaemtaka..pole mwayaa!!
Ahsante mi nilikuwa napenda kumuona akiwa na furaha siku zote na sikutaka kabisa kumchanganya na ma dem wengine
 
Mapenzi yana mwisho....kama mtu anakufanyia mambo haya unaendelea vp kumpenda?

Moyo wangu hauna nafasi nyingine pale unapoumizwa basi yanaisha hapohapo
Kweli mkuu upo sahihi kwa 100%
 
Na huyo shemela wetu pia alikua na back up yake iliompa mimba
Mimi huwa siwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja ntajitesa tu(love can't be devided) labda ndo nijifunze sasa huu mchezo
 
tafuta pesa na jaribu kusali sana au amua kuwa player ila tumia condom
Asantee ila sometimes nikifikiria mambo tuliokuwa tunafanya eti sasa hivi alie kuwa mke wangu mtarajiwa alifungiwa geto wiki mbili analiwa.. Tena mchana na usiku labda hapo ndo huwa napata wakati mgumu kumsamee
 
Najishughulisha na ufugaji wa kuku lakini pia nafundisha vijana wa pre form five tuition.. Nimemaliza chuo mwaka jana so bado sijapata ajira rasmi... Ni kweli yaani nimejaribu kuingia kwenye relationship na binti flani hapa mtaani lakini ikabidi nimuache tu.. Sina hisia kabisa na hata nikimpigia simu nikamkuta yupo busy basi nafkiria mbali sana na kuhisi na yeye ni wale wale ikabidi nimuache tu
Kila kitu hutokea kwa sababu la msingi mshukuru mungu kwani huwezi kujua amekuepushia nini na huyo binti mwache aende zake hakua muaminifu omba mungu akuondolee roho ya chuki dhidi yake wekeza kwenye mambo yako ya msingi ni mapito wengi tumepita huko amini utasahau na utapita salama katika kipindi hiki kigum
 
Mwanaume kuumizwa na mwanamke ni uzembe. Haya maua yamejaa tele... hili likinyauka unachuma lile.

Ndo ujinga huu wa watu kujifanya wasafi. Mwanaume unapaswa uwe na mademu watatu angalau... Huyu akileta fyoko unakuwa tayari una back up.
Umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa na wanawake wa3 na wakamuacha wote kwa mkupuo, sijui walifahamiana!! Jamaa na umalaya wake wote lakini ilimuuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom