Wala usifanye kinyongo nae jaribu kujiweka busy na mambo mengine, bora umemgundua mapema kua ni msalit kuliko angeyafanya haya katika ndoa ambayo ungekua na watoto kibao wakusingiziwa, pia kila kitu katika maisha kinatokea kwa sababu Fulani jaribu kukaa utulie kama utaanzisha mausiano mapya jaribu kumchunguza MTU ujiridhishe nafikir wako wanawake wanaojitambua na kujielewa na wako ambao hawajatulia sasa kaz kwako, kinyongo hakisaidii sana zaid yakukumiza ww namna yakuondikana na hicho kinyongo ni kufuta namba zake zote na kutowasiliana kabisa na ata akituma msg au kupiga hakuna kurespond lakin IPO cku atakukumbuka mana mkataa pema pabaya panamwita na pia huyo bint hakua anakudhamin ata kidogo huwez kumpa namba boyfriend wako et huyu ananitaka na cmtaki na kanitishia wakat anajua huyo ni mpenz wake, mfano jamaa ulivyomtukana labda mngekua karibu akakuzuru kisa huyo bint, ingekuwaje, bint kuendekeza tamaa unaweza kost maisha ya MTU