Kwa mtu mwenye akili timamu, kwa hili ni rahisi kuachana nae ila kwasababu huna akili ndio maana unapata shida na unashindwa kumsamehe. Maandiko yanasema "azinie na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomuangamiza. " huko ndiko unakoelekea. Iko hv. Nafsi yako ndiyo iliyojeruhika na imesbabisha maumivu ndani yake. Na nafsi iliyoumizwa inataka kulipa kisasi. Hivyo kabla haujafika hapo tumia hatua ya imani. Isemeshe nfsi yako kwa kuiyenganisha na nafsi ya huyo binti kwakutamka majina yenu. Km ni mkristo tumia damu y Yesu. Ila km sio tumia njia unayoona inafaa kwa mujibu wa imani yako, pia itangaziae uponyaji itapona na utamuona wa kawaida. Hakuna haja yakuwachukia wanawake ni moja kt ya watu wazuri sana, kwa baadhi yako. Usije ukakata tamaaa