Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
kwenye taasisi binafsi au?Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
kwenye taasisi binafsi au?
kama taasisi binafsi hata usipoenda ni sawa tu ila ingekuwa serikali ningekushauri uende.kama una njia mbadala ya kupata riziki; kazi hiyo waachie wengine.taasisi binafsi mkuu, kumbuka mwanza sina ndugu...
hoja zingine mnatia watu hasira...Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. Imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... Msaada.
kaongezee huo uzoefu kwenye CV uongezee na chumvi kibao itakusaidia kupata kazi inayolipa zaidi hapo baadae.Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
ww mbulula kwel wangu:A S angry:
usiende bas nipe mm hyo fursa nkuonyeshe,acha bwana mbwembe nenda.
huko acha tu wadai gesi yao labda itasaidia mji kukua na watu hawataogopa kwenda kufanya kazi huko, vinginevyo unaweza usiamini jinsi watu wanavyoishi kwa jinsi kulivyokosa huduma bora za jamii.Kuna mwingine analalamika hapa eti kapata kazi serikalini but wamempanga wilaya ya masasi..
Anaogopa hadi panyabuku amesikia huko watu wanakula panya anataka kulia halafu ni Mwanaume eti.. Yaani nimecheka hadi nimetaka kuanguka.
Kizazi cha dijitali kina vituko mbaya