Jamani niende au nisiende? msaada....

Jamani niende au nisiende? msaada....

we hujielewi wewe.... au labda unatukejeli tuu,.. we ulitaka ulipwe ngapi hasa? andika hapa sasahivi
 
taasisi binafsi mkuu, kumbuka mwanza sina ndugu...
kwani kazi unafanyia ndugu au tayari una kazi nyingine...... maisha mwanza sio magumu kiivyo 500000 mbona unaishi poa
 
Nna mashaka kama akili yako ipo sawsawa.....afu hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?

Kama wewe ni mwanaume .....kwa point uliiyiandika hapo juu.....mkeo ajipange.....

yaani paka leo unategemea ndugu?? kweli?

Acha utoto wa mama...ushakua sasa hivi.....ebo!![[
/QUOTE]QUOTE=Mayombo;5472806]thanx kwa matusi ndugu, mungu akuzidishie...
hayo sio matusi ni ukweli mtuppu
 
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.

Inaelekea kwenu fedha si tatizo ila ...
Kama unatafuta kazi ili upate angalau fedha za kukuweka "mjini" basi fedha hiyo ni nyingi na usiidharau maana kuna wengine wanaitafuta hata chini ya kiwango hicho lakini hawaipati.
 
Nakushauri kama huna pakufikia au mwenyeji usiende,labda endelea kwanza kutafuta kazi,unaweza kupata kazi ya malipo zaidi ya laki tano then utafikiria tena kama uifanye au usiifanye
 
Kuna mwingine analalamika hapa eti kapata kazi serikalini but wamempanga wilaya ya masasi..

Anaogopa hadi panyabuku amesikia huko watu wanakula panya anataka kulia halafu ni Mwanaume eti.. Yaani nimecheka hadi nimetaka kuanguka.

.
Kizazi cha dijitali kina vituko mbaya


..........hawajui JK alianzia huko !
:becky:
 
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.

usiende subiria ya milioni mbili inakuja
 
Ikiwa kweli una nia ya kufanya kazi nakushauri usiache hiyo nafasi ndugu coz itaongeza uzoefu wako wa kazi ili kwenda juu zaidi. Pa kuanzia maisha hlo ni jambo la kuzungumza na hyo kampuni before you attend ili wakufanyie accom then utapata marafiki na mambo yatakuwa mazuri please make sure u don forget your GOD.

thanx ndugu, mungu akuzidishie....
 
umetafuta au umetafutiwa? nenda kafanye kazi kijana,wewe umepata bahati unajiuliza tena? kuna vijana wanatafuta hizo nafasi hawazipati.
 
Ndio tatizo letu unataka upate kazi ya kulipwa mamilion wapi utapata hiyo kazi kwa haraka naomba ninuku kauli ya orijinal komedi kuwa chezea mshahara usichezee kaz,chezea kazi uone kazi kupata kazi.
 
taasisi binafsi mkuu, kumbuka mwanza sina ndugu...
Hee wewe unacheza na maisha unataka kulipwa shilling ngapi labda? na unavyo sema Mwanza huna ndugu una manisha nini mi nlikuja dar na laki 3 nikawa na kaa hostel na wanafunzi wa chuo kama mwanfunzi bada ya miezi kadha nigapanga makumbusho na ndipo napo kaa hadi sasa nina ndugu lakini cja angaika na hata mmoja huu ni mwaka wangu wa 7 dar cja rudi nyumbani wala kuomba hela ila mimi ndio natuma hela.embu kafanye kazi uko ,;YOU CANT BE RESPONSIBLE ON ANY THING IF YOU CANT MAKE SOMETHING OUT OF THE LITTLE YOU HAVE DUE TO FEAR OF RESPONSIBILITIES AND LIFE
 
If we all threw our problems in a pile and saw everyone else's, we'd grab our back.
 
Mkuu hujui ndoto zao wanataka wakimaliza chuo tu baada ya kupata kazi ndani ya miezi miwili waanze kutembelea Harrier!..
nyie watoto nyinyi!!! yani 500,000 unadai inakuvunja moyo? unatka uanze na shilingi ngapi? me naona hii post yako inalenga kuwakejeli hopeless jobless wa humu jamvini
 
Mkuu ukiamua kutoenda naomba uniunganishe nao hao jamaa!...

Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
 
Kama una uhakika wa kupata kazi bora zaidi ya hiyo na yenye maslahi zaidi basi usipoteze muda. Lakini kama huna uhakika na chochote, basit ni bore uende huku ukiangalia mazingira ya huko na pia ukitafuta sehemu nyingine bora zaidi!
 
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
Nakushauri uende kufanya kazi,mengine yatafuata,Kazi ni kipimo cha utu!
 
We dogo sio accountant, nafikiri hiyo kazi umetafutiwa kimagumashi....take home ya laki 5 unailetea zarau??Angalia tu MUNGU asije akakupiga teke....ptuuuuuuuu
 
Usiende kabisa mkuu...pesa ndogo sana hiyo...!!!ila naomba hiyo kampuni,mana yake kuna dogo wangu pale mwanza kamaliza bcom accounting anatafuta job mbaya!!ni pm mkuu...wewe usiende kabisa tena ikimbie hiyo kazi... @Mwana mtoka pabaya kuna kijana wako huku..hebu sogea pande hizi
 
Back
Top Bottom