zingatia kazi inaitwa White color job. Nenda kapige mzigo. Marupurupu hukosi hata kwa bosi utakaa uanze maisha. Nenda kazi ni ngumu xna kupata.
taasisi binafsi mkuu, kumbuka mwanza sina ndugu...
Nna mashaka kama akili yako ipo sawsawa.....afu hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?
Kama wewe ni mwanaume .....kwa point uliiyiandika hapo juu.....mkeo ajipange.....
yaani paka leo unategemea ndugu?? kweli?
Acha utoto wa mama...ushakua sasa hivi.....ebo!!
taasisi binafsi mkuu, kumbuka mwanza sina ndugu...
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
then nikifika mwanza naanza kukaa kwa demu wako au? mi shida yangu ntaanzaje maisha mwanza mpaka ntapokuja kusimama kabisa ....
napata mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Laki 5 ndo inakuvunja moyo,watu tulianza kazi na laki 3 na hatukuwa na wenyeji lkn tuliishi.
Anyway,fanya ambacho moyo wako unataka.
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.