Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,686
Usiwe na hofu, me muelewa....
hahahaha, we katavi nitakuwa sikufundishi yale maujanja ya kuhutubia. We endelea kuharibu hapa. Lol.
Usiwe na hofu, me muelewa....
Niko peke yangu, muulize mhusika mwenyewe.....lol!
hapa kuna kaukweli flan bila shaka,wanawake wa wakorofi utawajua tu kwa coment zao!!!
Anaweza ashindwe nini, sasa hii unayoiona hapa unafikiri anakuwa hivohivo kwa bf wake, kule ni sekta ingine, unakuta mtu kama babu asprin na the boss wapoleeee nyuso ndogo kama piriton unajiuliza ni huyuhuyu tunayekutana nae jf?
Pamoja na ukicheche wake lkn hapa angetulia,tatzo lake ni mdomo tu!
mkuu husninyo hajatulia.ni kicheche.
...Lkn uwezi kupima kwa Comment 2hapa kuna kaukweli flan bila shaka,wanawake wa wakorofi utawajua tu kwa coment zao!!!
MAKUBWA!!! Mie kama mlezi mbona sina taarifa??
tena MMHHH kubwa BAK. Lol.