Jamani ndoto yangu ni Husninyo!

body guard ulikuwa wapi watu wanachafua cv huku.lol
Samahani boss, leo tanesco walitukumbuka bana, wakauchukua umeme wao...ukinionea TF nisaidie kumwambia afungue sredi na heading iwe 'mgao wa umeme umerudi?' pole swahiba kwa kuchafuliwa CV!..
 
Usijali tutatumia ile mishumaa uliyochukua jana kwenye sherehe itatosha kutusukuma mwezi huu wote
 
hahahaha, poa poa.
 
Usijali tutatumia ile mishumaa uliyochukua jana kwenye sherehe itatosha kutusukuma mwezi huu wote
Lol...afu nahisi watakuwa wameusoma ule uzushi wako ati nimeiba mishumaa, nisafishe bana.. Si umemuona Inoveta yupo huku ndani?..ntareport abuse sasahivi. Angalia mdahalo wa umeme star tv live unaendelea..
 
Jaman ninatatizo la kumfuatilia mdada anayeitwa HUSNINYO! Hasa kwenye coments zake,huyu mdada huwa anakuwaga na majibu yake ya kiaina yaan shortcut,mm huwa najiuliza huyu mdada ana mume au boyfriend kwn kimtazamo ni mwnmke anayependa ligi flan ktk mambo yake! Sasa ndio najiuliza huyu dada anaweza kuishi na mr or boyfrnd? Ni hayo tu![/QU nataman siku moja tungeweka picha zetu za ukwel halaf kama hiz ndoa zenu za jf hazivunjik mara moja
 
Wengi wao hawauziki mazee,ww mtafute dem hpa jf alafu ifike cku ya kuonana mbona utamkimbia kana kwamba yule uliyekuwa unachart naye ni tofauti na uliyemwona!!!

Jaman ninatatizo la kumfuatilia mdada anayeitwa HUSNINYO! Hasa kwenye coments zake,huyu mdada huwa anakuwaga na majibu yake ya kiaina yaan shortcut,mm huwa najiuliza huyu mdada ana mume au boyfriend kwn kimtazamo ni mwnmke anayependa ligi flan ktk mambo yake! Sasa ndio najiuliza huyu dada anaweza kuishi na mr or boyfrnd? Ni hayo tu![/QU nataman siku moja tungeweka picha zetu za ukwel halaf kama hiz ndoa zenu za jf hazivunjik mara moja
 
Nikiwa na msongo wa mawazo, kazi zinasumbua nakuja jf kuna viburudisho tele!
 
Back
Top Bottom