Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,976
Abomination!Anaweza ashindwe nini, sasa hii unayoiona hapa unafikiri anakuwa hivohivo kwa bf wake, kule ni sekta ingine, unakuta mtu kama babu asprin na the boss wapoleeee nyuso ndogo kama piriton unajiuliza ni huyuhuyu tunayekutana nae jf?
Ningekuwa mpole kama unavyosema, yale makovu kwenye uso wa mai waifu wangu yangekuwa yamesababishwa na nini?
Ntake razi kabla sijaipasua avatar yako hapa kwa skriin!