Jamani ndoto yangu ni Husninyo!

Hahahahahah lol! umeambiwa majibu yako mafupi hahahahah lol! Hebu refusha basi japo kidogo tu :):) Huyu jamaa hata miezi miwili hajamaliza hapa jamvini lakini kishakusoma kiasi cha kukuanzishia uzi!!! :):) labda alikuwa anafuatilia jumbe zako siku nyingi lol! Mie nakuona uko poa kabisa umetulia kama maji ya mtungini :):):) usibadilishe hiyo style yako ya uandishi.

yaani BAK hii topic nafikiri ni zaidi ya style ya kuandika kwangu. Nway, perception zinatofautiana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unampoteza mdada wa watu ww!!

Hahahahahah lol! umeambiwa majibu yako mafupi hahahahah lol! Hebu refusha basi japo kidogo tu :):) Huyu jamaa hata miezi miwili hajamaliza hapa jamvini lakini kishakusoma kiasi cha kukuanzishia uzi!!! :):) labda alikuwa anafuatilia jumbe zako siku nyingi lol! Mie nakuona uko poa kabisa umetulia kama maji ya mtungini :):):) usibadilishe hiyo style yako ya uandishi.
 
hahahaha, we katavi nitakuwa sikufundishi yale maujanja ya kuhutubia. We endelea kuharibu hapa. Lol.

Ahahahaaah!! Tafadhali mwalimu, nilikuwa namuonya tu ili asikusumbue na ukaharibu ratiba yetu.
 
kwaiyo unavyomuona Husninyo ana rigi frani kwny jf unahisi labda analigi pia kwenye bedi!! Teh teh teh teh....
 
Back
Top Bottom