Jamani naumwa!

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,408
6,555
habari za likizo ya lazma wanaJF toka juzi mwezenu nimeshikwa na Malaria vibaya, yaani leo ndo nimetoka hospital baada ya kulazwa! Niombeeni jamani nipate nafuu!
 
habari za likizo ya lazma wanaJF toka juzi mwezenu nimeshikwa na Malaria vibaya, yaani leo ndo nimetoka hospital baada ya kulazwa! Niombeeni jamani nipate nafuu!

Pole Mkuu, upate nafuu ya haraka.
 
get well soon... unywe maji kwa sana...na matunda yahusike...utembeetembee usipende kulala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom