Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,251
- 418
habari za likizo ya lazma wanaJF toka juzi mwezenu nimeshikwa na Malaria vibaya, yaani leo ndo nimetoka hospital baada ya kulazwa! Niombeeni jamani nipate nafuu!
kama madr wamekwambia unamaralia bas wamekosea mbona mi nakuona mzima si unajua hivo vifaa ni feki coz tz hatuna TBS
ulikosa jf ukahis homa!!!!