yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Dec 5, 2011 #1 jamani nipeni pole ,mwenzenu naumwa naskia malaria, alafu nabanja kishenzi,nipeni pole mamen na wanawake pia,akina dada pole zenu zinatia moyo zaidi.
jamani nipeni pole ,mwenzenu naumwa naskia malaria, alafu nabanja kishenzi,nipeni pole mamen na wanawake pia,akina dada pole zenu zinatia moyo zaidi.
Wa Nyumbani JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 438 Reaction score 67 Dec 5, 2011 #2 Pole ndugu, nenda ukapimwe!
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,652 Dec 5, 2011 #3 Wa Nyumbani said: Pole ndugu, nenda ukapimwe! Click to expand... ngwengwe.eikei ei high volt.
ZeMangi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 436 Reaction score 33 Dec 5, 2011 #4 Umenikumbusha enzi za ANGAZA,ni noma,wewe kunywa vidonge tu ila uthiende kupima,thawa..!?
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Dec 5, 2011 Thread starter #5 Wa Nyumbani said: Pole ndugu, nenda ukapimwe! Click to expand... nishawah kupima ngoma nikakutwa nna alama ya kutoa,but kwa sasa nna malaria na ku...koh! Koho..kubanja
Wa Nyumbani said: Pole ndugu, nenda ukapimwe! Click to expand... nishawah kupima ngoma nikakutwa nna alama ya kutoa,but kwa sasa nna malaria na ku...koh! Koho..kubanja
ZeMangi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 436 Reaction score 33 Dec 5, 2011 #6 yahoo said: nishawah kupima ngoma nikakutwa nna alama ya kutoa,but kwa sasa nna malaria na ku...koh! Koho..kubanja Click to expand... wanaogopa kukuambia ukweli,jaribu tena thehemu nyingine,thawaa..!?
yahoo said: nishawah kupima ngoma nikakutwa nna alama ya kutoa,but kwa sasa nna malaria na ku...koh! Koho..kubanja Click to expand... wanaogopa kukuambia ukweli,jaribu tena thehemu nyingine,thawaa..!?
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,387 Dec 5, 2011 #7 Pole sana. tutakuombea dua utapona.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Dec 5, 2011 #8 Jamani pole mpenzi. Umeshameza dawa?Umeweza hata kula au nikuchemshie kasupu nikuletee? Huko kubanja changanya limao, asali na magadi kidogo kwenye kijiko unywe.
Jamani pole mpenzi. Umeshameza dawa?Umeweza hata kula au nikuchemshie kasupu nikuletee? Huko kubanja changanya limao, asali na magadi kidogo kwenye kijiko unywe.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 5, 2011 #9 Duh, bweka mwenyewe usisubiri wengine
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 5, 2011 #10 hii mada ilikuwa jokes nikajua ni joke ya kawaida kumbe uko serious mkuu pole sana get well soon ciaoooooo..:shock:
hii mada ilikuwa jokes nikajua ni joke ya kawaida kumbe uko serious mkuu pole sana get well soon ciaoooooo..:shock:
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,387 Dec 5, 2011 #11 Lizzy said: Jamani pole mpenzi. Umeshameza dawa?Umeweza hata kula au nikuchemshie kasupu nikuletee? Huko kubanja changanya limao, asali na magadi kidogo kwenye kijiko unywe. Click to expand... Kwa kubembelezwa huku itabidi na mimi niumwe... 🙂
Lizzy said: Jamani pole mpenzi. Umeshameza dawa?Umeweza hata kula au nikuchemshie kasupu nikuletee? Huko kubanja changanya limao, asali na magadi kidogo kwenye kijiko unywe. Click to expand... Kwa kubembelezwa huku itabidi na mimi niumwe... 🙂
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,891 Dec 5, 2011 #12 yahoo said: jamani nipeni pole ,mwenzenu naumwa naskia malaria, alafu nabanja kishenzi,nipeni pole mamen na wanawake pia,akina dada pole zenu zinatia moyo zaidi. Click to expand... wakati unavalishwa condom mbona ukutukaribisha aunakaribisha imeshaoza na kuoza loh mbaya weyeeeeeeeeee mgeni mgeni mgeni mgeni huyu mgeni mgeni ameingia hana adabu wala haya amevamia na jf mgeni aemingia sasa watanzania tufanyeje mgeni kashavamia na jf ukiuchoka wimbo wangu fungua akunaga ikuridhishe mpwa
yahoo said: jamani nipeni pole ,mwenzenu naumwa naskia malaria, alafu nabanja kishenzi,nipeni pole mamen na wanawake pia,akina dada pole zenu zinatia moyo zaidi. Click to expand... wakati unavalishwa condom mbona ukutukaribisha aunakaribisha imeshaoza na kuoza loh mbaya weyeeeeeeeeee mgeni mgeni mgeni mgeni huyu mgeni mgeni ameingia hana adabu wala haya amevamia na jf mgeni aemingia sasa watanzania tufanyeje mgeni kashavamia na jf ukiuchoka wimbo wangu fungua akunaga ikuridhishe mpwa
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,891 Dec 5, 2011 #13 Umesahau na shahawa za kukuwa kienyeji yaaaani yai la kienyeji mpwa
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Dec 5, 2011 #14 RussianRoulette said: Kwa kubembelezwa huku itabidi na mimi niumwe... 🙂 Click to expand... Hehehehe, we umwa tu love utabembelezwa na kuuguzwa vizuri mpaka ufiche dawa ili usipone.
RussianRoulette said: Kwa kubembelezwa huku itabidi na mimi niumwe... 🙂 Click to expand... Hehehehe, we umwa tu love utabembelezwa na kuuguzwa vizuri mpaka ufiche dawa ili usipone.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Dec 5, 2011 #15 Pdidy said: wakati unavalishwa condom mbona ukutukaribisha aunakaribisha imeshaoza na kuoza loh mbaya weyeeeeeeeeee mgeni mgeni mgeni mgeni huyu mgeni mgeni ameingia hana adabu wala haya amevamia na jf mgeni aemingia sasa watanzania tufanyeje mgeni kashavamia na jf ukiuchoka wimbo wangu fungua akunaga ikuridhishe mpwa Click to expand... Ustaarabu sio pesa useme ukionyesha utaibiwa. Mtu anaumwa siumpe pole na kama hutaki upite kimya kimya?
Pdidy said: wakati unavalishwa condom mbona ukutukaribisha aunakaribisha imeshaoza na kuoza loh mbaya weyeeeeeeeeee mgeni mgeni mgeni mgeni huyu mgeni mgeni ameingia hana adabu wala haya amevamia na jf mgeni aemingia sasa watanzania tufanyeje mgeni kashavamia na jf ukiuchoka wimbo wangu fungua akunaga ikuridhishe mpwa Click to expand... Ustaarabu sio pesa useme ukionyesha utaibiwa. Mtu anaumwa siumpe pole na kama hutaki upite kimya kimya?
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,863 Dec 5, 2011 #16 Pole sana. Kwasisi waislam, kuumwa ni sehemu ya ibada. Mshukuru mungu kwa kuumwa.
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Dec 6, 2011 #17 Pole sana Mkuu! Kabla maumivu hayajazidi, kamuone daktari!
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Dec 6, 2011 #18 Pole sana dogo, ulivyotaja kubanja nikamkumbuka Mr. Ebbo! Mungu amlaze mahala pema peponi. Amen.
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,387 Dec 6, 2011 #19 Mwita25 said: Pole sana dogo, ulivyotaja kubanja nikamkumbuka Mr. Ebbo! Mungu amlaze mahala pema peponi. Amen. Click to expand... Hivi ndugu yangu what do you have in mind, kumpa mtu pole huku unamtajia marhem?
Mwita25 said: Pole sana dogo, ulivyotaja kubanja nikamkumbuka Mr. Ebbo! Mungu amlaze mahala pema peponi. Amen. Click to expand... Hivi ndugu yangu what do you have in mind, kumpa mtu pole huku unamtajia marhem?
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Dec 6, 2011 #20 RussianRoulette said: Hivi ndugu yangu what do you have in mind, kumpa mtu pole huku unamtajia marhem? Click to expand... alivyosema kubanja ndiyo nikakumbuka.
RussianRoulette said: Hivi ndugu yangu what do you have in mind, kumpa mtu pole huku unamtajia marhem? Click to expand... alivyosema kubanja ndiyo nikakumbuka.