Mkolokotiatanas
Member
- Mar 2, 2013
- 63
- 7
karibu jf mkuu!nadhani umewahi sana kujiunga jf unatakiwa uwe darasani kwanza maana wengi hapa wameshamaliza mpaka elimu ya juu,huwezi kudanganya kitoto namna hiyooooMim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana mwenye umri wa miaka 20 na amemaliza kidato cha sita ,amepata three ya 17,anahitaji nimpeleke chuo kikuu kwa gharama zangu,na atakapo maliza tuoane.NAOMBA USHAURI WENU WANAJAMII!
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana mwenye umri wa miaka 20 na amemaliza kidato cha sita ,amepata three ya 17,anahitaji nimpeleke chuo kikuu kwa gharama zangu,na atakapo maliza tuoane.NAOMBA USHAURI WENU WANAJAMII!
karibu jf mkuu!nadhani umewahi sana kujiunga jf unatakiwa uwe darasani kwanza maana wengi hapa wameshamaliza mpaka elimu ya juu,huwezi kudanganya kitoto namna hiyoooo
- kwa 24 years huwezi kuwa medical doctor tena bingwa wa mifupa
- udsm hawana degree ya medicine
labda ungetuambia wewe ni mtoto wa chuo umepata demu beki tatu anataka umsomeshe ndio umuoe tungekuelewa na kukupa ushauri maana ni jambo jema!sio unakurupuka tu na kutudanganya
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana mwenye umri wa miaka 20 na amemaliza kidato cha sita ,amepata three ya 17,anahitaji nimpeleke chuo kikuu kwa gharama zangu,na atakapo maliza tuoane.NAOMBA USHAURI WENU WANAJAMII!
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana mwenye umri wa miaka 20 na amemaliza kidato cha sita ,amepata three ya 17,anahitaji nimpeleke chuo kikuu kwa gharama zangu,na atakapo maliza tuoane.NAOMBA USHAURI WENU WANAJAMII!
Umeona eeh!!Teh teh teh,humu uktaka udanganye jipange! Madaktar wamo humu,wahacbu wamo,Auditors wamo,etc.Jipange dogo.