jamani naomba ushauri:Mchumba wangu anahitaji nimsomeshe,ndipo tuoane.

Mar 2, 2013
63
7
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana mwenye umri wa miaka 20 na amemaliza kidato cha sita ,amepata three ya 17,anahitaji nimpeleke chuo kikuu kwa gharama zangu,na atakapo maliza tuoane.NAOMBA USHAURI WENU WANAJAMII!
 
Kwani UDSM sikuhizi wanafundisha Madoctor wa Upasuaji mzee? ana Chuo cha Muhimbili?
 
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana mwenye umri wa miaka 20 na amemaliza kidato cha sita ,amepata three ya 17,anahitaji nimpeleke chuo kikuu kwa gharama zangu,na atakapo maliza tuoane.NAOMBA USHAURI WENU WANAJAMII!
karibu jf mkuu!nadhani umewahi sana kujiunga jf unatakiwa uwe darasani kwanza maana wengi hapa wameshamaliza mpaka elimu ya juu,huwezi kudanganya kitoto namna hiyoooo
  • kwa 24 years huwezi kuwa medical doctor tena bingwa wa mifupa
  • udsm hawana degree ya medicine

labda ungetuambia wewe ni mtoto wa chuo umepata demu beki tatu anataka umsomeshe ndio umuoe tungekuelewa na kukupa ushauri maana ni jambo jema!sio unakurupuka tu na kutudanganya
 
wasomesheo wenzio kama wenzako wengi mbona pouwa tu
 
karibu jf mkuu!nadhani umewahi sana kujiunga jf unatakiwa uwe darasani kwanza maana wengi hapa wameshamaliza mpaka elimu ya juu,huwezi kudanganya kitoto namna hiyoooo
  • kwa 24 years huwezi kuwa medical doctor tena bingwa wa mifupa
  • udsm hawana degree ya medicine

labda ungetuambia wewe ni mtoto wa chuo umepata demu beki tatu anataka umsomeshe ndio umuoe tungekuelewa na kukupa ushauri maana ni jambo jema!sio unakurupuka tu na kutudanganya

hahaha jamaa anafikiri fb hapa...lol
 
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana mwenye umri wa miaka 20 na amemaliza kidato cha sita ,amepata three ya 17,anahitaji nimpeleke chuo kikuu kwa gharama zangu,na atakapo maliza tuoane.NAOMBA USHAURI WENU WANAJAMII!

Wewe mwenyewe unatakiwa usomeshwe, sasa na yeye huoni utawapa shida na matatizo wazazi wako???????????????? Pole sana mdogo wangu jipange kabla hujaandika huku siyo FB, hizo bold zinadhihirisha ulivyo soma na kumaliza.
 
twende taratibu UDSM umesoma udaktari sio na kwasasa unafanya kazi MOI sio??
sasa kwa akili yako yooote ya kusaga makalio 5 yrs UDSM ulijua kabisa kwamba utatunyaka enh!!
manake miaka 5 uliyokaa UDSM ukaongeza na mi 2 ya kuwa bingwa inamaana ni 7 inatosha kabisa kukwambia uje na uongo upi utakaoleta imani kwetu.

BTW hongera sana kwa kuwa bingwa ukiwa na umri wa 24 yrs. wenzio wengi kwao ubingwa ni hadi wafike 40 siku hizi ndo kidoogo tunawaona wa 35 yrs
 
Medical Doctor Degree nadhani ni miaka 5, Internship ni mwaka 1...hivyo ili uwe daktari mwenye ajira kwenye hospitali ya Serikali inahitaji takribani miaka 6.

Elimu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha 6 huhitaji jumla ya miaka 6.

Elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la saba huhitaji jumla ya miaka 7.

Miaka 6 ya udaktari, miaka 6 ya sekondari, na miaka 7 ya elimu ya msingi jumla ni miaka 19.

Umri wako wa miaka 24 ukitoa miaka 19 ya kitaaluma unapata miaka 5.

Je, kuna uwezekano kweli mkuu ulianza darasa la kwanza ukiwa na miaka 5???

NB: Hapo sijahesabu miaka kadhaa ya kufanya specialization ya mifupa....

ANYWAY,
against all odds ushauri wangu ni kama ifuatavyo kwa maneno machache....
Wewe sio baba yake wala mume wake, jukumu la kumsomesha kwa hiyo elimu aitakayo kwa sasa lilipaswa kubebwa na mzazi/wazazi/mume.
Kama utaamua kumsomesha basi fanya hivyo pasipo kutegemea kitu chochote in return ikiwemo hiyo ndoa, fanya kama unatoa msaada tu kwa rafiki.
 
Ww ni mjin.ga sana.
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana mwenye umri wa miaka 20 na amemaliza kidato cha sita ,amepata three ya 17,anahitaji nimpeleke chuo kikuu kwa gharama zangu,na atakapo maliza tuoane.NAOMBA USHAURI WENU WANAJAMII!
 
Teh teh teh,humu uktaka udanganye jipange! Madaktar wamo humu,wahacbu wamo,Auditors wamo,etc.Jipange dogo.
 
Umeona eeh!!
JF imejaa watu mbali mbali kutoka fani mbalimbali.
Ni vizuri mtu ukawa msomaji wa post za watu wengine kuliko kukurupuka na kupost uchafu.
 
Jipange tena kiongozi halafu uje na story iliyokamilika kama kusomesha somesha ndugu zako.
 
Nayaona majanga mbele yako...utalia na kusaga meno..utalia mpaka utatoa makamasi machoni baada ya machozi kukauka na mwishowe utaona bora Uji R.I.P..Na huo ndio utakuwa mwisho wako alafu wenzako wanamega kiulaini....DON'T TRY IT NI MAJANGA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom