We Malaya umeona umsaliti dadako ss ndo tutakupa ushauri utaelewa kwel?Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Sent using Jamii Forums mobile app