Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Pm kuna nini??
Pm kuna nini??
Hivi ndo huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Denmark hukwenda?
Maana nimeona kwenye posts zako kuna kipindi ulipata mchumba wa Denmark.
Ndiyo hapo sasa lazima yule amwambie
Kataa tumwambie sijalala nae na jamaa naae mwambie akatae,mchezo kwishaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe una akili mingi sana...umenisaidia kuulizaAlikupa kilevi mkafanya. Huko lodge alikupeleka baada au kabla ya kilevi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mzima my wizzo,,Huyu kikulacho tuu,.hana lolote..
Hujambo wifi??
Mimi mnoo wiwo wangu😙
Wewe huyoo??