Computer mpakato
Member
- Jan 18, 2019
- 75
- 38
Namhurumia huyo Dada anayefuga malaya ndani mwake,kwa kivuli cha unduguAlikupa kilevi mkafanya. Huko lodge alikupeleka baada au kabla ya kilevi
Sent using Jamii Forums mobile app
Namhurumia huyo Dada anayefuga malaya ndani mwake,kwa kivuli cha unduguAlikupa kilevi mkafanya. Huko lodge alikupeleka baada au kabla ya kilevi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kindoki na Kabwili bora nani?Duh
2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
Namhurumia huyo Dada anayefuga malaya ndani mwake,kwa kivuli cha undugu
Ninalo jibu zuri sana ambalo ukimwambia tu dada yako atakusamehe na kukupongeza sana, na pengine mtaji utapata siku hiyo hiyo hata mara mbili yake, ila tu jibu hilo siwezi kukupa hapa wala pm, ni mpaka tukutane live. Kazi kwako.Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Dada watu wanataka kuunganisha dots ukiona hivyo ujue kuna sehemu wanawasiwasi na wewe, mfano ukikataa kujibu hapa hujui kwamba wanataka kuuliza kwanini hujahofia mmeo unahofia dada yako.. Na unahofu tu kisa kakuahidi mtaji!!! Je kama ulivyodai mwanzo kwamba una mme kwann uombe mtaji kwa dada yako badala ya mme wako?? Mwisho kwenye hili tukio binafs nasema ulitenda ukiwa na akili timamu haiwezekani shemeji shako huyo ajikute anakupa kilevi tu bila ww kutengeneza mazingira hapo KABLA.... Dada wewe usipate tabu ya kulalamika hilo ulizamilia kabisa na ninauhakika kuna mazingira ya muda mrefu uliyatengeneza kumuibia dada yako mme wake.... Wacha aambiwe ili upate kujifunza adabu!Hayo si muda wake hapa nshachanganyikiwa
UNAOMBA USHAURI USAIDIWE AU UNAOMBA UONGO???? MBONA KAMA UNA MAHITAJI MAWILI KWA WAKATI MMOJA, LA KWANZA UNAOMBA JIBU LA PILI JINSI YA KUMDANGANYA. KUWA SPECIFIC KWENYE KILE UNACHOOMBA, KAMA NI UONGO OMBA USAIDIWE UONGO KAMA NI USHAURI SEMA PIA UPEWE JIBU.Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Njoo nikupe mtaji kama ntakuelewa. Nijie pmNi jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Mwambie shemeji yako akusaidie huo mtaji achana na dada yako..akili za usiku hiziNi jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Mkuu kaamua kusingizia kilevi ili apate pakutokea lakini ndo basi tena.Alikupa kilevi mkafanya. Huko lodge alikupeleka baada au kabla ya kilevi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kwanza hapa kabla ya kukushauri,vipi huyo shemeji yako ulipenda mgegedo wake?maana kama alikidhi mtima wako naamini bado utampa tu,hivyo uamuzi unao weweNi jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Mkuu akikujib anatoa namm nipe contact zakeUnatangaza Biashara yako Je Tigo unatoa?
Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya