Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,

Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,

Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Nyege noma sana zisikie kwa mwenzio tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaungame kwanza dhambi hiyo kabla ya kutenda hii nyingine ya kutuomba jinsi ya kudanganya. Ushauri wa kiimani.
Dada hana pesa shemeji ndio ana pesa, endeleza mauno kwa shemeji atakupa huo mtaji na zaidi. Ushauri wa kishetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,

Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,

Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Njoooo nikupe Mimi ule Mtaji dada alitaka akupe
 
Na ngoja dada yake arudi... ndo atajua kua mume wa mtu sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na atabeba mimba kwa makusudiii..[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna dada ngu aliolewa sasa mdogo wake wa kike akawa anaenda kwake lakini kutwa Kushinda na Khanga na Vinguo vifupi... Maza alimzingua kinyama mpaka akaacha kuvaa kipuuzi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom