Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,039
Denmark hukwenda?
Maana nimeona kwenye posts zako kuna kipindi ulipata mchumba wa Denmark.
Hahah, mkuu salamu [emoji1538]
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Denmark hukwenda?
Maana nimeona kwenye posts zako kuna kipindi ulipata mchumba wa Denmark.
Acha kumtisha.Uzuri ni kwamba dada yako yuko humu jf.
well said...Mimi huwa nawasaidia ndugu wakiwa hukohuko uchochoroni kwao, kwagu naishi na watoto wangu na mume wangu, ukiendekeza ndugu nyumbani kwako aidha watawafanyia ukatili watoto wako au watakuvunjia ndoa yako period
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba niku PMNi jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Mchukue na mme wa mama yako.
Dah wewe kweli kete ngumu ,sasa hapo asukume kete ipi ?Kaungame kwanza dhambi hiyo kabla ya kutenda hii nyingine ya kutuomba jinsi ya kudanganya. Ushauri wa kiimani.
Dada hana pesa shemeji ndio ana pesa, endeleza mauno kwa shemeji atakupa huo mtaji na zaidi. Ushauri wa kishetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini umdanganye? Mweleze ukweli tu!!! Au uje nikupe dawa ambayo itamfanya Dada yako asimwamini huyo rafiki yake kama ataamua kumwambia, ila unipe mbunye niibandue kama malipo.Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Alikupa kilevi mkafanya. Huko lodge alikupeleka baada au kabla ya kilevi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Hilo ni limalaya by nature, halina cha kujutia!Kwa hiyo unahofia tu mtaji!???
Hiyo dhambi huihofii???
SI ajabu ulitengeneza mwenyewe mazingira ya kushawishiwa
Too sad,,nimeumia Sana...utubu na uache,,
Dada yako!????[emoji22]aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Kwa sababu ulilewa ndio ukafanya nakushauri dada akirudi we ulewe ndio umjibuNi jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya