Jamani Moyo

Jamani Moyo

Hahaha, Babangu ni korokoroni wa mbuga moja kubwa sana ya wanyama. si unaona tunakulaga bata na sun goggles

cc Mtambuzi

me and dad mtambuzi.jpg


mtambuzi na mwanae.jpg
Ha ha ha, una majibu kama askari wa NAZI
 
Last edited by a moderator:
Mtt. Wa mwanamke mwenzio ni dhambi kumpenda ukweli kweli,penda kiongo ongooo la sivyo utalia daily,,baba nanii akipita hapa na zawadi basdei sipati walah!hili dole gumba langu litakua limejiunga na bokoharam,sio mm nilieandika!
 
Mtu mwambie nakupenda lakin nakuacha usilie mama .... au mawili komaaa akiwa deep rudisha mapigo mletee dharau
 
inaumiza sana mtu unapompenda akakuletea dharau..leo nina hasira jamani nimeishia kulia tu..najiuliza mpka lini hii hali.,a bleeding heart.!ni kosa mtu akijua unampenda

Pole sana mamie.... unamaanisha moyo wako uko hivi???

Bleeding_Heart.jpg
 
Pole mamii. But jitahidi kupenda 30%... na 70% unajiwekea mwenyewe. Ukisema utoe 100% yote utalia kila siku. Jipende mwenyewe saaana. Then nayeye mpende kidogo tuu inamtosha.
 
Back
Top Bottom