kipindi kilicho kuwa kinaendeshwa na mkurugenzi Mzee David Wakati. halafu kulikua na external service huko ndo kulikuwa na nyimbo za kizungu na kilikuwa chaendeshwa kwa ung'eng'e. na nikikumbuka watangazaji kama akina Sekioni Kitojo, Ahmed Jongo, Charles Hilary, Abisai Steven Ben Kiko (huyu alivuma sana wakati wa vita vya uganda .