Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

tiari, mbona nimeona kama maticha wameshaanza kupanga mafoleni kwenye ATM ili wakalipe madeni kwenye maduka ya wachaga na wahindi. labda kama nimeona vibaya. hii ndio tz isiyojali maticha bwana. hadi wamekuwa kitambulisho cha kama mshahara umetoka au la.
 
Wewe Hute naona kuna kitu umepungukiwa
Alafu watu wanawatumia maticha kutimiza hitaji lao, hivi teacher na mtu wa masijala nani pale halmashauri nani mwenye njaa? Mtoa uzi wacha kudhalilisha kada za watu, kwani usingesema neno Mwl swali lako lisingejibiwa?
 
Nime uliza kupitia Idara maana huenda mshahara umelipwa kwa kufuata Idara, Walimu hawanaposho huenda tumewahishiwa mwezi huu. Jibu Hapo lilikuwa NDIYO au hapana wala siyo ugonvi bandugu
 
tiari, mbona nimeona kama maticha wameshaanza kupanga mafoleni kwenye ATM ili wakalipe madeni kwenye maduka ya wachaga na wahindi. labda kama nimeona vibaya. hii ndio tz isiyojali maticha bwana. hadi wamekuwa kitambulisho cha kama mshahara umetoka au la.
Wanajiendekeza tu, wapo watumishi wana mishahara midogo kuliko walimu lakini hawakopi ovyo,
 
Back
Top Bottom