Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

Poleni walimu mishahara yenu sio kipaumbele chetu
Sie kipaumbele ni madawati
 
Magari ya kuthibiti ukuta yanapakwa rangi kwanza,hivyo subiri kodi ikusanywe.
 
Mh.....Walimu njaa itawaua.....Naishauri serikali hii ya JPM ijaribu kuwapa walimu wetu angalau POSHO ya laki moja kila katikati ya mwezi maana hawa hawana sehemu ingine ya kuingiza ata shilingi tofauti na mshahara....Naishauri serikali baada ya kuongeza mishahara kwa walimu basi iyo nyongeza iwe posho hii itasaidi kuwapunguzia ukakasi wa maisha ya month to month.....WALIMU daini POSHO mishahara ata ukiwa milioni 3 kama hakuna posho katikati ya mwezi bado ikifika tarehe 20 mtakua mnaulizia km mishahara imetoka
 
sidhani kama upo sawa..posho ikishaingizwa kwenye mshahara bado itakua kama mshahara as itakubidi uisubiri hadi mwez uishe...
 
1471881334299.jpg
Masikini walimu jamaaani mweeee!!
Wapewe kaposho katikati watakufa hawa.
 
Jaman walimu wangu mbona mapema sana... Kati ya watumishi wote wa serikali....walimu ndo wenye malalamiko mengi bila kujali kwamba kuna haki za msingi wanazodai.
Lkn wanakuwa wanalalamikia kila jambo....
 
tiari, mbona nimeona kama maticha wameshaanza kupanga mafoleni kwenye ATM ili wakalipe madeni kwenye maduka ya wachaga na wahindi. labda kama nimeona vibaya. hii ndio tz isiyojali maticha bwana. hadi wamekuwa kitambulisho cha kama mshahara umetoka au la.
We ni nani unayekashifu walimu pengine unakula na kulala kwa shemeji yako acha hizo mkuu muheshimu mwalimu maana ndo kakufanya uweze kuandika text yako ya kijinga hapo juu
 
sidhani kama upo sawa..posho ikishaingizwa kwenye mshahara bado itakua kama mshahara as itakubidi uisubiri hadi mwez uishe...
Mbona ww ndo hueleweki ebu soma upya acha kukurupuka.....nimesema ombeni posho na sio nyongeza ya mishahara na nikasema ata km wanataka kuongeza mishahara basi ni vema hicho kiasi kikawa ni posho.....posho ukipokea tarehe 15 na mshahara ukapokea tarehe 27 sidhan km huu ukakas wa maisha utandelea kua km ilivyo sasa
 
duuuh, hali ngumu!. sahivi mishahara inauliziwa kama wanafunzi wa chuo wanavyoulizia boom kama limetoka au bado!, wapi tunakwenda
 
Kazi kweli Ila tuendelee hivi hivi maana walimu wengi huwa wanajitoa ufahamu kuchagua chama tawala kitaa hakuna hela mishahara midogo na inachelewa tuendelee kuisoma
 
naona una hamu na mshahara. Ukitoka usisahau nunua tishet ya UKUTA
 
Back
Top Bottom