Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

Duh mzee unaweza kununua hata baiskeli kweli maana inaonesha pesa imekata kabisa ila sio nyie walimu tu hata wengine sasa ivi tumeshakopa kila sehemu sasa tunaishi kama digidigi mlango ukigongwa unaisi mdeni wako
Ha ha ha kwikwikwi
 
Wewe ACHA tu, nilifungua glocery hapa kazi tu akazuia watu kunywa asubuhi, Sasa SAA 10 sio muda rafiki kwa walevi. Nimefunga, nataka nianze kufuga bata, yaani Ranch ya bata huenda ikalipa. Tuache utanj kwenye maisha mshahara ukitoka HATA kesho alfajiri mnijurishe hali mbaya, IMBOMBO NGAFU NKAMU
 
Ualimu ni moja ya taalum ni ninayoiheshim Wakati mwingine waalim mnafanya mdhauriliwe ni mambo kama haya ya kwako mleta uzi , ulishawai kusikia daktar humu analalama kuhusu mshahara ,, ushawai sikia askar analalamika mshahara, nk.
 
Acheni uchochezi tangia lini mshahara ukatoka tarehe 23?au mnawadai walimu mnaulizia kisanii hapa?shikeni adabu zenu
We ndugu yangu nadhan si mfanyaka wa serikalin wenzako kuanzia tarehe 22 wanakula jasho lao wewe ushazoea mshahara wako mpka tareh 33 hukoooo ndiyo maana unashangaa kuona walimu wanaulizia tarehe 22 ni kwa sababu wanazijua tarehe zao mkuu.
 
We ndugu yangu nadhan si mfanyaka wa serikalin wenzako kuanzia tarehe 22 wanakula jasho lao wewe ushazoea mshahara wako mpka tareh 33 hukoooo ndiyo maana unashangaa kuona walimu wanaulizia tarehe 22 ni kwa sababu wanazijua tarehe zao mkuu.
Haijalishi kuwa mfanyakazi au sio tabia za kuwazalilisha walimu acheni we eleza shida zako achana na shida za wenzio
 
We ni nani unayekashifu walimu pengine unakula na kulala kwa shemeji yako acha hizo mkuu muheshimu mwalimu maana ndo kakufanya uweze kuandika text yako ya kijinga hapo juu
nawaheshimu sana walimu aisee, ila nimeandika hivyo sio kwa kukashifu, bali kwaajili ya serikali kuona namna wanavyopata shida, wanaishi kwa madeni, mwisho wa mwezi kupanga foleni ili kwenda kulipa madeni madukani. ni maisha magumu. hivi mtu anayekusemea matatizo yako anakuwa anakukashifu?
 
Hongera sana serikali ya awamu ya 5 leo ni tarehe 23 mshahara tayari upo hewani. Tulizoea kupata tarehe 6 ya mwezi unaofuata.
 
We ni nani unayekashifu walimu pengine unakula na kulala kwa shemeji yako acha hizo mkuu muheshimu mwalimu maana ndo kakufanya uweze kuandika text yako ya kijinga hapo juu
Achana na hicho kiraka .kazi kumchungulia shemeji yake anavyompapasa dada yake!
 
Nime uliza kupitia Idara maana huenda mshahara umelipwa kwa kufuata Idara, Walimu hawanaposho huenda tumewahishiwa mwezi huu. Jibu Hapo lilikuwa NDIYO au hapana wala siyo ugonvi bandugu
Huna sifa za kuwa Mwl ! Siku zote Tanzania Mwl ni mvumilivu na wala si mlopokaji, usitumie walimu na kada yao kuwa kama fimbo ya kuwafanya washushwe hadhi kiasi hicho, si walimu pekee ndio hawakipwi posho Tanzania
 
Mbona ww ndo hueleweki ebu soma upya acha kukurupuka.....nimesema ombeni posho na sio nyongeza ya mishahara na nikasema ata km wanataka kuongeza mishahara basi ni vema hicho kiasi kikawa ni posho.....posho ukipokea tarehe 15 na mshahara ukapokea tarehe 27 sidhan km huu ukakas wa maisha utandelea kua km ilivyo sasa
Ndo na nachokueleza...chochote unacho expect whether between or at the end of month its obvious utakipangia matumizi...so sithan kama hyo laki moja utakayopokea katikat ya mwez itapunguza ukakasi wa maisha..ela nzuri ni zile ambazo huja expect a.k.a ela za dili hzi ndo zinaweza punguza ukakasi coz zinakuja bila kuzisubiria
 
Back
Top Bottom