Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

Ualimu ni moja ya taalum ni ninayoiheshim Wakati mwingine waalim mnafanya mdhauriliwe ni mambo kama haya ya kwako mleta uzi , ulishawai kusikia daktar humu analalama kuhusu mshahara ,, ushawai sikia askar analalamika mshahara, nk.
Hawa hawawezi kulia maana wana mianya nyingi ya kupata pesa kama vile posho za over time, posho za katikati ya mwezi na rushwa za hapa na pale hata mishahara ikichereweshwa miezi mitatu.
 
Kuduman Kwani unapo mlipa mtu mshahara wake unampangia matumizi yake? Kunywa Kiroba ni compulsory HATA ukitoa tarehe 30 kiroba kitanyweka tu, unachokiongea ni upuuzi mtupu
 
Ha ha ha walimu bhana watu wa ajabu sana,jifunzeni kutumia vipato vyenu kwa nidhamu
 
Walimu hawana posho pia hawana kipato cha ziada kama kada zingine lazima wapige kelele Mimi na we we na wengine tuangalie suala hili kuihamasisha serikali iwape kitu katika ya mwezi kama kada zingine hawapendi kujidhalilisha hivi ni shida nimewahi kuwa mwalimu nikakimbia kunashida huko in balaa.
 
Nimeangalia SAA 5:00pm nothing kwa kweli meku
 
Mshahara tayari ila hakuna Increments JPM vepee?
 
Back
Top Bottom