Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

tiari, mbona nimeona kama maticha wameshaanza kupanga mafoleni kwenye ATM ili wakalipe madeni kwenye maduka ya wachaga na wahindi. labda kama nimeona vibaya. hii ndio tz isiyojali maticha bwana. hadi wamekuwa kitambulisho cha kama mshahara umetoka au la.
Acha dharau, mwalimu kakufundisha kuandika Leo unaandika dharau.
 
Mbona huku kwangu mpaka leo bado bila bila, kuna mfanyakazi wa serikali kuu ameshapata mshahara wa mwezi huu?
 
Mshahara tushakula karibia unaisha[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Mimi Mbona sijapata au nisubiri kupangiwa kazi nyingine? IMBOMBO NGAFU NKAMU
 
Back
Top Bottom