Jijune mfwene
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 267
- 185
= scarf
Ktk ubora wake azidi kuweka mambo sawa
= scarf
Atalisokomeza mwenyewe kinyeoni au utamsaidia??
Wanawake wanaharakati.
Kuna hii dizain ya wanawake wanaharakati wanaopenda sana siasa na mambo ya kupigania haki. Unakuta mwanamke anabishania mambo ya siasa mpaka mishipa inamsimama, kiukweli uwa nawachukia na nikishamjua nakaa nae mbali.
Tena unakuta wengine anajichanganya na wanaume ndio kabisaaaa. Nawaona kama wana stress sana za maisha na washari, unakuta msichana kavaa scurff ya people's power makelele muda wote anazungumzia haki na kujifanya anajitambua yani mie ananitoka kabisa.
Mwanamke lazima uwe sweetheart umekaa kimahaba na una muonekano wa kubembelezwa, full kupetipeti. Unazungumzia maendeleo yako sio kila muda nchi nchi nchi, kwa kweli wanawake wanaharakati siwazimii.
Si huwa nasikia ke baadhi huwaviburudisho vya wenye ushawishi na wengine eti wametuongezea na idadi ya watanzania kabisa..kama mkuu wa cdm.
Ila mianaume miccm inachefuaje!! Mara zote naionaga kama mishogaflani ivi.
hahahaha unaweza mmiliki kweli lakini. ok I wish you good luck.Mkuu yupi ila mimi poa tu as far as ntakuwa nammiliki
hahahaha unaweza mmiliki kweli lakini. ok I wish you good luck.