asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Utakuwa laini laini sana wewe na inferiority complex kuogopa challenges.
tatzo la evelyn salt anajifanyaga mjuaji sana,kumbe hamna kitu
Chuki binafsi kumbe....tatzo la evelyn salt anajifanyaga mjuaji sana,kumbe hamna kitu
Na wao pia hawampendi mwanaume dizain yako...wanaona boya tuu
Hajui hata nchi yake inaendaje.....
Si bure lazma una hamu na ubo, nakuacha tu make sina cha kukusaidia au dildo ya mbao itafaa?
Labda ndo itamtuliza, naona mwanaume analeta udada dada mbele yanguhahhha haya maneno unatolea wap... dildo ya mbao si utamuua mwenzio!!!
kamata tano kiongozi
Dalili ya Uoga hii.
Acha ushamba wewee.
anazingua mdee..labda afanye siasa za kidem kama za kina uwoya au vick sio mapovu mpk kerokwahiyo unamwambiaje halima mdee?
Wanawake wanaharakati.
Kuna hii dizain ya wanawake wanaharakati wanaopenda sana siasa na mambo ya kupigania haki. Unakuta mwanamke anabishania mambo ya siasa mpaka mishipa inamsimama, kiukweli uwa nawachukia na nikishamjua nakaa nae mbali.
Tena unakuta wengine anajichanganya na wanaume ndio kabisaaaa. Nawaona kama wana stress sana za maisha na washari, unakuta msichana kavaa scurff ya people's power makelele muda wote anazungumzia haki na kujifanya anajitambua yani mie ananitoka kabisa.
Mwanamke lazima uwe sweetheart umekaa kimahaba na una muonekano wa kubembelezwa, full kupetipeti. Unazungumzia maendeleo yako sio kila muda nchi nchi nchi, kwa kweli wanawake wanaharakati siwazimii.