Jamani mimi sipendi kabisa wanawake wanaopenda siasa

Jamani mimi sipendi kabisa wanawake wanaopenda siasa

Mimi napenda mwanamke anaejua mambo mengi,siasa,uchumi,tamaduni mbali mbali,matukio,awe a bit analytical wa mambo, nataka mwanamke nabishana nae kidogo kwenye mambo,sio anawaza kupigwa miti tuuuuu na kwenda saluni kwenye umbea.

Actually napenda mwanamke mjuaji mjuaji wa mambo mbali mbali.
 
Navaa bendera ya M4C.
Dera la CHADEMA na American boots.Mkononi vidole viwili na shingoni naning'iniza 'scuff'.
Usipoifata siasa itakufata mlangoni kwako.
 
Daaah mi mwanaume msisiemu ananikataje stimuu???? Ni bora akae mbali kabisa na siasa kuliko kushabikia sisiemu....Mwanaume mpambanaji analeta raha bwana. Mara mojamoja anaswekwa ndani kama Godbless Lema hivi,anaibua makashfa makubwamakubwa kama Kafulila vile siku nyingine anakoswakoswa kumwagiwa tindikali, Hata kama ni mwandishi anaandika zile habari zenyewe za chini ya kapeti.....yan hadi raha.

Ukienda mjengoni si utatizika sana? Au utajilindaje!? Ni swali tu
 
Wanawake wanaharakati.

Kuna hii dizain ya wanawake wanaharakati wanaopenda sana siasa na mambo ya kupigania haki. Unakuta mwanamke anabishania mambo ya siasa mpaka mishipa inamsimama, kiukweli uwa nawachukia na nikishamjua nakaa nae mbali.

Tena unakuta wengine anajichanganya na wanaume ndio kabisaaaa. Nawaona kama wana stress sana za maisha na washari, unakuta msichana kavaa scurff ya people's power makelele muda wote anazungumzia haki na kujifanya anajitambua yani mie ananitoka kabisa.

Mwanamke lazima uwe sweetheart umekaa kimahaba na una muonekano wa kubembelezwa, full kupetipeti. Unazungumzia maendeleo yako sio kila muda nchi nchi nchi, kwa kweli wanawake wanaharakati siwazimii.

Mbona kama unanielezea mimi navopenda siasa
 
Navaa bendera ya M4C.
Dera la CHADEMA na American boots.Mkononi vidole viwili na shingoni naning'iniza 'scuff'.
Usipoifata siasa itakufata mlangoni kwako.

ha ha ha,if mohamet wont come to the mountain,then the mountain will have to come to mohamet....
 
oyaaa Awsom.....FaizaFoxy ni mpenzi wangu........naomba usituingilie kwenye mahabati yetu........hivi hapa n'navyoongea mtoto Faiza ametoka geto sasa hivi kunimwagia uno........mtoto ananidatisha sana kwenye matress simuachi........kaaa mbali sana.......jiheshimu.

ahah! duh!
 
Binafsi nimechunguza na kugundua wengi wa wanawake wanaoshabikia ccm, ndoa zimewashinda au wasimbe na pia wasichana hawana mvuto wa kuolewa.
 
Back
Top Bottom