Jamani mimi sipendi kabisa wanawake wanaopenda siasa

Jamani mimi sipendi kabisa wanawake wanaopenda siasa

da mkuu mimi hao nawakubali sana ukimuon mmoja uniPM. Ila Mashariti yangu siasa mwisho Baada ya kuapishwa rais atakayeshinda baada yahapo awe mpenzi wa kusoma vitabu.

na siasa mara mojamoja kama wakati wa skendo kidogo then back to work.

kweli tunapishana duniani.

**** back to my signature****
 
ila kiukweli mwanamke akiwa mwanaharakati sn hua haipendezi.sipati picha hao waume zao

Hiyo ni African mentality mkuu..watu kama Angela merkel...Hilary Clinton..magreth Thatcher. ..Indira Gandhi. ..wasingepatikana...kwa maana nyingine unataka akae nyumbani apike...hiyo mentality haina tofauti na filosofia za Boko Haram..iss na alshabab...waacheni wachangie ukombozi maana wana haki hiyo..tuko sawa!
 
Daaah mi mwanaume msisiemu ananikataje stimuu???? Ni bora akae mbali kabisa na siasa kuliko kushabikia sisiemu....Mwanaume mpambanaji analeta raha bwana. Mara mojamoja anaswekwa ndani kama Godbless Lema hivi,anaibua makashfa makubwamakubwa kama Kafulila vile siku nyingine anakoswakoswa kumwagiwa tindikali, Hata kama ni mwandishi anaandika zile habari zenyewe za chini ya kapeti.....yan hadi raha.
 
Binafsi kipimo changu nikuona mwanamke anaelewa hali ya nchi inavyokwenda...jaribu kuchunguza wanawake wanashabikia ccm huwa ndio wanaopiga vizinga sana na ndo ambao hawana akili huru za maendeleo
 
mr gentleman

kila ndege utua kwenye mti haupendao. Binafsi ni mdada ila napenda siasa sana na kizuri zaidi kila nikilala naota niko on stage namnadi mme mtalajiwa.

Mwenyezi mungu muandae mwenye sifa izo maana sipati picha siku niko on stage namnadi hubby.
Ila mungu kumbuka asiwe lumumba fc maana atadoda hawa watu hawauzikiii!
 
Last edited by a moderator:
[QUOTa E=Evelyn Salt;13792923]Ahsante bi mkubwa hii lugha ya kuijulia ukubwani ni shida[/QUOTE]

dada yangu Evelyn Salt nimependa ulivio mjibu mkubwa wako faiza Foxy
 
Last edited by a moderator:
We una matatizo kweli....kumuelekeza mtu ndo kumuumbua? Hata mimi nimejifunza kitu hapa maana nlikuwa sjui inaandikwaje

tatzo la evelyn salt anajifanyaga mjuaji sana,kumbe hamna kitu
 
Back
Top Bottom