Jamani Mchungaji Peter Msigwa yuko wapi?

Mambo ni mengi muda wenyewe hautoshi
 
Kwa jinsi alivyo, lazima anaumia sana kwa yanayoendelea nchini kwa sasa. Despite everything, Msigwa anakuwaga mtu sana. Katika wanaotamani kuona nchi inarudi kwenye mstari ni huyu bwana. Tena kwa dhamira njema kwa nchi yake, anawashinda hata baadhi ya watu waliobaki Chadema mpaka sasa (kama Sugu).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…