Jamani Mchungaji Peter Msigwa yuko wapi?

Kweli naye simsikii
CCM inakutumia mara unapotoka kwenye chama chako ili ukiseme vibaya. Ukishakaa unakuwa huna jipya. BTW Msigwa alikuwa amefanya ajenda yake kubwa ni Mbowe lakini kwa bahati mbaya kwake Mbowe sasa hivi ni kipenzi chao. Ni sawa na mama mmoja anaitwa Juliana Shonza, alitoka CHADEMA akawa anafanya ajenda yake ni CHADEMA, sasa hivi hana jipya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…