Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,381
- 24,979
Nimeshangaa mnooo hii sembe kuwa 1400 nilimuuliza muuza duka mara Tatu kama kweli yupo serious au anataniaSembe imepanda sasa ni 1400 kwa dar
Nimeshangaa mnooo hii sembe kuwa 1400 nilimuuliza muuza duka mara Tatu kama kweli yupo serious au anataniaSembe imepanda sasa ni 1400 kwa dar
Halafu unajiita member JF?Sababu vimepandishwa
Sasa ulitaka ujibiweje kwan? Ujui mwaka wa bajet umeanza vitu vinaongezeka thamani ili walipa kodi waongeze mapato tujenge nchi maswali gan? Ayo unauliza uliza sukar kupanda mia mbili kelele acha ayo mambo ufanikiwe.Halafu unajiita member JF?
bure kabisa. Unaweza kuta mtu mwenye uchafu kichwani badala ya ubongo kama huyu anawajukuu
Asante mkuu sio kwa ujanja huo japo hela ngumu ila hiyo kazi ya kubeba makinikia si itanivunja kiuno mkuu nunua canterNjoo kakola namba mbili ubebe cargo za mawe. Kago moja ni buku mbili. Umbali wa dakika moja tu. Kaz nakupa Mimi hapa. Kama kuna ambae anaweza hiyo kaz na yupo namba mbili sasa hiv anichek. Kama kuna boda boda anaebeba mawe kutoka kakola kwenda nyarugusu pia anicheki. Mifuko minne ni 37elfu. Sio lazma uelewe
Haaaa a haaaa hata MI nimelishangaaHalafu unajiita member JF?
bure kabisa. Unaweza kuta mtu mwenye uchafu kichwani badala ya ubongo kama huyu anawajukuu
Iko mikate inauzwa Hadi kwa lita
Ni dhahiri na bei ya kuku itakuwa juu zaidi.Mfuko wa 50kgs chakula cha kuku umepanda toka 40,000/- hadi 45,000/-.Halafu kuku wangu wa kienyeji nimewazoesha kuwapa chakula hawajui kudanga !
KidumuuNimeshangaa mnooo hii sembe kuwa 1400 nilimuuliza muuza duka mara Tatu kama kweli yupo serious au anatania
Kidumuu
Lazima kua vegetarian..unatupangia watanzania mboga ..unatupangia cha kula ..mna wazimuAcha uvivu wewe, huo ugali ulionunua uliwezaje kuununua ushindwe kununua mboga, lakini sio lazima pia ule ugali na hapa ndipo inaonyesha namna ulivyoshindwa kuwa na kipaumbele.. Kuwa vegetarian tu mkuu achana na ugali huo nunua mchicha uchemche na maji ya bomba utafune shushia na ndizi mbili mbivu maji glasi mbili hapo poa kabisa tena diet ya uhakika kabisa hiyo.