Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,565
mambo vipi dada mzuri hawachi mie napita tuuMdogo wangu umenichekesha ๐๐๐๐
๐ถ ๐ถ ๐ถ
mambo vipi dada mzuri hawachi mie napita tuuMdogo wangu umenichekesha ๐๐๐๐
Safi pancho boy, wasalimie uendako.mambo vipi dada mzuri hawachi mie napita tuu
๐ถ ๐ถ ๐ถ
Vitu vya kugawa Bure hivi Kwa mbele... aisee fungeni Buti kamba mjichekeche Tu maana kama no ujenzi wa nchi ndio Kwanza msingiacha tu vitatu tunavinunua kwa buku3 wakat zaman ilikua jero au buku daaaa
Hata guest bei zimepanda hasa short time.Wadau wa zile "huduma zetu pendwa" tujuzane kama kuna mabadiliko yoyote uko, maana wengne hatujapita huko siku 2-3 hiz
Cc.Ambiele Kiviele, zero iQ
Sembe imepanda sasa ni 1400 kwa dar
Huku mkate 2000 ila ipo hivi UKIJIFANYA UNAMUWEKEA MLOLONGO MWINGI WA MAKODI(TAX) PRODUCER NA RAW MATERIAL JUA KABISA HAYO MAKODI YATASHUSHWA KWA WHOLE SALE NA WHOLE SALER ATAYASHUSHA KWA RETAILER THEN RETAILER ATAYASHUSHA KWA LAST CONSUMER AMBAO NDO SISI. HUO MTIRIRIKO UNAKUJA KWA LAST CONSUMER KWA KUONGEZA BEI BIDHAA.
Njoo kakola namba mbili ubebe cargo za mawe. Kago moja ni buku mbili. Umbali wa dakika moja tu. Kaz nakupa Mimi hapa. Kama kuna ambae anaweza hiyo kaz na yupo namba mbili sasa hiv anichek. Kama kuna boda boda anaebeba mawe kutoka kakola kwenda nyarugusu pia anicheki. Mifuko minne ni 37elfu. Sio lazma ueleweHata cheap labour tupo kijiweni tumelala tu tunatazama jua linavyo zamaa kila ihi twao siku hakuna mchongo wala kazi ya maana God help us
Anza kuniandalia makazi uko mwana waneee
Mm nimeoa miaka kadhaa iliyopita.
Alieoa haitaji ndom au?
hahaha unaamua kunitisha Dada ake.hahahhq stick na kimoja mzee baba...hahaha huku inakupasa uwe na roho ngumu km ya Magu
hahaha unaamua kunitisha Dada ake.
afu nishalipia godown na maushuru yote yanayohitajika nimeuweka uko kwa muda hapa naomba bala la njaa liwakumbe tu.
Hii miaka ya jiwe kumekuwa na trend ya kufunga mipaka kutoruhusu chakula kutoka nje ya nchi. Majirani siku zote huwa wana high demand na reasonable price ambayo huwa inapelekea bei za ndani kuchangamka pia.hongera sana.
ila tuseme ukwel...wakusanya vyakula.wa miaka mi5 iliyopita walikua na hela sana...sio km ss..mchele haupandi kivilee...mchele mzuri unachezea 1800- '2000..hv shida ni nn
Too late mkuu. Ukitoka asubuhi wanakuangalia mpaka uwape chochote. Wanaweza kukung 'ata hata miguu !Sasa wafundishe kudanga
Wa kienyeji bhana. Ili wakupe mazao stahiki km mayai na mbolea ya kutosha inabidi uwape huduma stahiki !Hao kuku sio wa kienyeji tena, hao kuku wa geti kali.
Ili aitwe wa kienyeji lazima akazurule ajitafutie riziki yake mwenyewe, wewe jukumu lako kumpatia malazi tuu
Maendeleo hayana chamaWakuu habari zenu poleni na majukum ya kitaifa
Kuna jambo limenishangaza sana mbona maisha yanazidi kupanda sana toka tarehe moja nimeenda dukani kununua sukari kilo moja kwetu huku ilikuwa tsh 2600 sasa hivi imefika 2800
Bati pia hivyo hivyo bando moja hizi za rangi nimekuta bei imepanda toka 370000 mpk 390000
Hizi za kawaida simbadum zimepanda toka laki mbili themanini mpaka laki tatu na arobaini.
Cement nayo imepanda hatari jamani tunaelekea wapi sasa mbona hatari hii kwa wafanyakazi kipato bado kile kile pia wafanyabiashara hali ya biashara ngumu
Hii hali hii mbona umri unaenda hatufanyi lolote la maana kwa ajiri ya watoto wetu zaidi ya kujibana kula na kuvaa napo kwa shida.
Wala sikushangai maana hata wafanyakazi wanao lalamika mishahara kutopanda ni wapiga dili.
Incase hujaamibiwa na rafiki zako, nikujulishe tu kwamba UNAAKILI NA UWEZO MDOGO MNO WA KUFIKIRI!!
HahahhaTatizo upande wa pili wa equation mkemia haku balance.
Upande wa wale walioishi kama mashetani kuishi kama malaika.
Figuratively speaking.