Nyox official
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 597
- 455
ila tumejitahid,pedi tumeshusha bei
acha tu vitatu tunavinunua kwa buku3 wakat zaman ilikua jero au buku daaaaKondomu nazo zimepanda bei!
HiiiiiiiiiiiiiHiiiiiiiiiiiiiiiii!!
Mfuko wa 50kgs chakula cha kuku umepanda toka 40,000/- hadi 45,000/-.Halafu kuku wangu wa kienyeji nimewazoesha kuwapa chakula hawajui kudanga !
Yaan na kwenye bajeti haijaeleza kama kuna kupanda kwa hivyo vitu....wenye maduka wamepandisha hadi sigara.....Wakuu habari zenu poleni na majukum ya kitaifa
Kuna jambo limenishangaza sana mbona maisha yanazidi kupanda sana toka tarehe moja nimeenda dukani kununua sukari kilo moja kwetu huku ilikuwa tsh 2600 sasa hivi imefika 2800
Bati pia hivyo hivyo bando moja hizi za rangi nimekuta bei imepanda toka 370000 mpk 390000
Hizi za kawaida simbadum zimepanda toka laki mbili themanini mpaka laki tatu na arobaini.
Cement nayo imepanda hatari jamani tunaelekea wapi sasa mbona hatari hii kwa wafanyakazi kipato bado kile kile pia wafanyabiashara hali ya biashara ngumu
Hii hali hii mbona umri unaenda hatufanyi lolote la maana kwa ajiri ya watoto wetu zaidi ya kujibana kula na kuvaa napo kwa shida.
Ndo uchumi wa viwanda unaimarika mkuu.Wakuu habari zenu poleni na majukum ya kitaifa
Kuna jambo limenishangaza sana mbona maisha yanazidi kupanda sana toka tarehe moja nimeenda dukani kununua sukari kilo moja kwetu huku ilikuwa tsh 2600 sasa hivi imefika 2800
Bati pia hivyo hivyo bando moja hizi za rangi nimekuta bei imepanda toka 370000 mpk 390000
Hizi za kawaida simbadum zimepanda toka laki mbili themanini mpaka laki tatu na arobaini.
Cement nayo imepanda hatari jamani tunaelekea wapi sasa mbona hatari hii kwa wafanyakazi kipato bado kile kile pia wafanyabiashara hali ya biashara ngumu
Hii hali hii mbona umri unaenda hatufanyi lolote la maana kwa ajiri ya watoto wetu zaidi ya kujibana kula na kuvaa napo kwa shida.

Mfuko wa 50kgs chakula cha kuku umepanda toka 40,000/- hadi 45,000/-.Halafu kuku wangu wa kienyeji nimewazoesha kuwapa chakula hawajui kudanga !
Trotting inflation.....Kuna jambo limenishangaza sana mbona maisha yanazidi kupanda sana toka tarehe moja nimeenda dukani kununua sukari kilo moja kwetu huku ilikuwa tsh 2600 sasa hivi imefika 2800
Bati pia hivyo hivyo bando moja hizi za rangi nimekuta bei imepanda toka 370000 mpk 390000
dukan zpo mkuu we nenda tu uulzieZimekuwa shi ngap mkuu
Wala sikushangai maana hata wafanyakazi wanao lalamika mishahara kutopanda ni wapiga dili.Wewe utakuwa mpiga dili.. Ukiwa unapiga kazi kwa bidii mambo yatakuwa murua tu..kwasasa mnajengewa msingi ili mje muishi vizuri..majizi na wauza unga ndio wanaolalamika awamu hii..
Wala sikushangai maana hata wafanyakazi wanao lalamika mishahara kutopanda ni wapiga dili.
Incase hujaamibiwa na rafiki zako, nikujulishe tu kwamba UNAAKILI NA UWEZO MDOGO MNO WA KUFIKIRI!!

Mfuko wa 50kgs chakula cha kuku umepanda toka 40,000/- hadi 45,000/-.Halafu kuku wangu wa kienyeji nimewazoesha kuwapa chakula hawajui kudanga !
ila tumejitahid,pedi tumeshusha bei
Wakuu habari zenu poleni na majukum ya kitaifa
Kuna jambo limenishangaza sana mbona maisha yanazidi kupanda sana toka tarehe moja nimeenda dukani kununua sukari kilo moja kwetu huku ilikuwa tsh 2600 sasa hivi imefika 2800
Bati pia hivyo hivyo bando moja hizi za rangi nimekuta bei imepanda toka 370000 mpk 390000
Hizi za kawaida simbadum zimepanda toka laki mbili themanini mpaka laki tatu na arobaini.
Cement nayo imepanda hatari jamani tunaelekea wapi sasa mbona hatari hii kwa wafanyakazi kipato bado kile kile pia wafanyabiashara hali ya biashara ngumu
Hii hali hii mbona umri unaenda hatufanyi lolote la maana kwa ajiri ya watoto wetu zaidi ya kujibana kula na kuvaa napo kwa shida.
Mkuu wachanganyie pumba na vumbi la dagaa nao waisome namba.![]()