FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Serikali inafikiri kubebesha wafanyabiashara mizigo mikubwa ya kodi ndio kuonhezq makusanyo, kumbe inasababisha bidhaa kupanda bei na kuleta inflation, mwisho wa siku figure za makusanyo zinaongezeka lakini thamani ya pesa imeshuka, kwahiyo walichokusanya hakina ongezeko katika thamani ila tu ni namba zinapanda. Zqmanqi TRA walikuwa wanakusanya bilioni 300 enzi za mkapa lakini ilikuwa inafanya makubwa kuliko Trillioni 1 ya leo.Huku mkate 2000 ila ipo hivi UKIJIFANYA UNAMUWEKEA MLOLONGO MWINGI WA MAKODI(TAX) PRODUCER NA RAW MATERIAL JUA KABISA HAYO MAKODI YATASHUSHWA KWA WHOLE SALE NA WHOLE SALER ATAYASHUSHA KWA RETAILER THEN RETAILER ATAYASHUSHA KWA LAST CONSUMER AMBAO NDO SISI. HUO MTIRIRIKO UNAKUJA KWA LAST CONSUMER KWA KUONGEZA BEI BIDHAA.