Jamani mbona kila mtu ananikopa ela nina tatizo gani?

Muache banaa ajienjoy! Mie niliwahi kuombwa nimkopeshe mtu 20M by kesho mchana nikafurahi kweli. Manake nilikuwa kauzu sina hata za kujikimu nawaza ntapata lini kamshahara, ilinifariji kuona mtu anafikiria im worth 20M ambayo haina hata kazi.
JF sasa inapoteza mwelekeo, hili nalo la kulileta hapa?

Halafu badilisha heading ya hii thread yako ya kijinga, mimi sijawahi kukukopa, sasa unapata wapi uhalali wa kusema kila mtu anakukopa?
 
Na zaidi ya yote, ukiona unaelemewa au watu wanataka kukucheza shere, usione muhali kusema "sina" au "nimebanwa na majukumu mengine".

Waswahili wanasema "Ufanze muhali na chako unacho, sefanza muhali na chako hunacho"
 
aisee pole saana kiongozi lakin hiyo pia ni ishara njema kuwa watu wanakukubali na wanaamini unaweza kuwasaidia japo wewe pengine unaji underestimate kuwa uko wa kawaida lkn watu wao wanakuona your valuable resource to them kama ilivyo tanzania kwa nchi za ulaya. Hata mimi naomba unikopeshe kama laki5 nasubiria pm yako.

tatizo hacha kua napesa we lala kwa nyumba 2 une kama kuna mtu atakufuata sababu hautakua na pesa ........wewe ni mungu wa rohooo
 
Habar wana bodi naombeni ushauri ndugu zangu kila siku watu wanakuja kunikopa pesa sijui wananiona au wanaenda kupigiana stor leo yenyewe kiasi ya watu 5 wamekuja wakitaka niwakopeshe pesa wa kwamza anataka elf 60 wa pili anataka elf44 wa tatu anataka elf 10 wa nne anataka 50 cha kushangaza zaidi huyu wa 5 anataka milion 3 nini tatizo jamani

acha majigambo wewe,mbona ulizokopeshwa wewe husemi?
 
Back
Top Bottom