Huyu Dada namfahamu vizuri sana. Ana shepu yake nzuri sana ya kibantu.
Hapo ni namna tuu picha ilivyotoka ila kwa shape yake ninayoijua hapo hamna kigodoro. Wanaozusha huwa wamemjulia kwenye mtandao tuu. Na ni kwanini ni kwenye picha hiyo moja tuu.?

Ushawahi kumuona live?Haaa ni mweupe wa kawaida bana..
Ushawahi kumuona live?
Picha zinadanganya sana...Sijawahi ila namuona tu kwenye picha
Kwani ndo Leo?!!!
Picha zinadanganya sana...
Bize na makonda na lisu..Timing yake ya ndoa imefeli. Watu wako bize sanah asee
Waache waoane!!siku imefikaNahisi Leo..maana ndoa zinafungwaga jmosi..
Dua la kukuHivi ina maana Mc hakuaga na mwanamke alipokua Mwalimu?? Na huyo dada hakua na bwana?? Kama alimuumiza dada wa watu aliekua nae akiwa Mwalimu nae ataumizwa tu.
Wana Instagram yaani wanafuatilia Sana.Wanasema zipi imekaa vby,inawezekana,mbona ana umbile lake zuri sidhani km anaweza kufanya huo upuuzi wanaosema
Ndio hivyo zipatikane tuu story za kupost wambea tusafishe macho. Kuna siku uwoya sijui nguo alivaa tako likakaaje kwenye picha ., wakasema kigondoro. Shida ni vigodoro vimewakaa.Basi watu wamemkomalia wee kigodoro
Mahusiano unaweza ukawa nayo ambayo malengo ya kuoana hayapo. Pengine aliachwa au waliachana kwa amani.Hivi ina maana Mc hakuaga na mwanamke alipokua Mwalimu?? Na huyo dada hakua na bwana?? Kama alimuumiza dada wa watu aliekua nae akiwa Mwalimu nae ataumizwa tu.
Dua la kuku